I wish dunia ingejaa haki hivyo. Haki itapatikana Mbinguni tu. Huku duniani kuna shida na mateso mengi sana. Na mengine hayana majawabu rahisi kama tunavyotaka
Ndio maana nasema strategy nzuri sio kupiga ngumi hewani ukitegemea mbaya wako ataanguka chini. Haki ni kitu adimu sana kwenye hii dunia yetu.
Ndio maana tunategemea approach nzuri ya kudai haki na yenye kuzaa matunda mema