Mdude Nyagali atendewe haki. Amewatambua watu waliomteka na kumtesa. Pia ametaja mpaka maeneo alipopelekwa kuteswa

Mdude Nyagali atendewe haki. Amewatambua watu waliomteka na kumtesa. Pia ametaja mpaka maeneo alipopelekwa kuteswa

..Ni kisingizio tu cha kunyima watu haki zao.

..Kati ya matusi na kuteka lipi ni kosa kubwa na lenye madhara kwa jamii?
I wish dunia ingejaa haki hivyo. Haki itapatikana Mbinguni tu. Huku duniani kuna shida na mateso mengi sana. Na mengine hayana majawabu rahisi kama tunavyotaka
 
Hebu tuambie anapataje haki huku waliomtesa bado wako ofisini?
Ndio maana nasema strategy nzuri sio kupiga ngumi hewani ukitegemea mbaya wako ataanguka chini. Haki ni kitu adimu sana kwenye hii dunia yetu.
Ndio maana tunategemea approach nzuri ya kudai haki na yenye kuzaa matunda mema
 
Back
Top Bottom