Mdude Nyagali atunga kitabu kuhusu Mateso na unyama aliofanyiwa kwenye Utawala wa Awamu ya 5, kuzinduliwa Machi 5, 2022

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama ungependa kufahamu namna awamu ya 5 ilivyosigina HAKI ZA BINADAMU nchini Tanzania, basi hutakiwi kukosa nakala ya kitabu kilichotungwa na Mhanga namba 5 wa Utawala ule aitwaye Mdude Nyagali, ndani ya kitabu hicho mmefunuliwa kila unyama na uchafu wote uliofanywa katika kusigina katiba ya Tanzania bila kujali lolote, baadhi ya wahusika wa unyama huo wameanikwa hadharani kwa majina yao matatu matatu.

Uzinduzi wa kitabu hicho ambacho inasemekana kinagombewa mithili ya Sukari enzi za RTC, utafanyika tarehe 5 ya mwezi wa tatu mwaka 2022, uzinduzi huo utafanyika dunia nzima , kwa njia ya kisasa ONLINE.

Rasmi_sasa_kitabu_changu_cha_simulizi_za_mateso_niliyopitia_enzi_za_mwendazake_kitazinduliwa_5...jpg
 
Hata mimi nasubiri hicho kitabu,kuna audio yake nilisikiliza jamaa anakwambia alikuwa anapigwa huku wimbo wa dini umekwa sauti ya juu,halafu chumba cha pili kuna mwanamke analia kwa kipigo cha maumivu akiomba wasimuue aisee..

Jamaa anasema ile sauti mpaka leo inamtesa sababu hakujua huyo mwanamke ni nani na alikuwa na kosa gani,na je aliuawa au alipona..

Mwendazake popote ulipo hukufaa kuwa binadamu bali wakala wa shetani..
 
Kama ungependa kufahamu namna awamu ya 5 ilivyosigina HAKI ZA BINADAMU nchini Tanzania, basi hutakiwi kukosa nakala ya kitabu kilichotungwa na Mhanga namba 5 wa Utawala ule aitwaye Mdude Nyagali, ndani ya kitabu hicho mmefunuliwa kila unyama na uchafu wote uliofanywa katika kusigina katiba ya Tanzania bila kujali lolote, baadhi ya wahusika wa unyama huo wameanikwa hadharani kwa majina yao matatu matatu.

Uzinduzi wa kitabu hicho ambacho inasemekana kinagombewa mithili ya Sukari enzi za RTC, utafanyika tarehe 5 ya mwezi wa tatu mwaka 2022, uzinduzi huo utafanyika dunia nzima , kwa njia ya kisasa ONLINE.

View attachment 2135154
jamaa tangu atoke na kwenda kuongea utumbo pale barakuda amenyooka kawa kimya hii inaonyesha amesalim amri hata ropoka tena lasivyo anarudi kwenda kukalia mikuyenge ya watu tena hapo alipo marinda yote walishayatatua
 
Hiyo Tarehe hapo kwenu DSM kutakuwa na ugeni wa msoma Qur'an kutoka Marekani.

Hivyo tunachanganywa tuende wapi.
Simama na mtanzania mwenzako..mana huyu nanaweza kukusaidia hata ukipata shida barabarani au popote pale.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hata mimi nasubiri hicho kitabu,kuna audio yake nilisikiliza jamaa anakwambia alikuwa anapigwa huku wimbo wa dini umekwa sauti ya juu,halafu chumba cha pili kuna mwanamke analia kwa kipigo cha maumivu akiomba wasimuue aisee..

Jamaa anasema ile sauti mpaka leo inamtesa sababu hakujua huyo mwanamke ni nani na alikuwa na kosa gani,na je aliuawa au alipona..

Mwendazake popote ulipo hukufaa kuwa binadamu bali wakala wa shetani..
Kuna unyama wa kutisha ulitendeka ....makaa ya mawe na magogo mazito mazito huko Jehanamu...
 
Back
Top Bottom