Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama ungependa kufahamu namna awamu ya 5 ilivyosigina HAKI ZA BINADAMU nchini Tanzania, basi hutakiwi kukosa nakala ya kitabu kilichotungwa na Mhanga namba 5 wa Utawala ule aitwaye Mdude Nyagali, ndani ya kitabu hicho mmefunuliwa kila unyama na uchafu wote uliofanywa katika kusigina katiba ya Tanzania bila kujali lolote, baadhi ya wahusika wa unyama huo wameanikwa hadharani kwa majina yao matatu matatu.
Uzinduzi wa kitabu hicho ambacho inasemekana kinagombewa mithili ya Sukari enzi za RTC, utafanyika tarehe 5 ya mwezi wa tatu mwaka 2022, uzinduzi huo utafanyika dunia nzima , kwa njia ya kisasa ONLINE.