Mdude Nyagali kupatikana tena ni 5%. Poleni sana Watanzania

Eti mtu mwingine anashangaa watu wanavyofurahia vifo vya mapolisi, yote kwa yote pamoja nami kufiwa ndugu yangu aliyekuwa polisi miaka ya 80, bado sioni kama ni kadhia! Polisi angalieni na ubinadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…