datz
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 858
- 972
nyie niwa kupuzwa tu wote hamnazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyie niwa kupuzwa tu wote hamnazo
Unahalalisha kosa kisa amefanya Komredi Makonda?!!!
Swali ni kwamba amepiga salute gani, sababu kila jeshi/ nchi ina salute yake, waeza kuta huyo Mdude amepiga salute ya South Korea huko wewe unakuja kutupotezea muda hapaLeo katika MKUTANO WAO WA KATIBA ambao ndg.Mbowe ameendelea kudhihirisha UKAIDI alionao kwa mamlaka za nchi ya "KIJAMAA" ndugu yetu Mdude Nyagali ametushangaza......
MDUDE NYAGALI amenishangaza vipi ?!!!
TABIA INAYOOTA MIZIZI HAPA NCHINI.......
MDUDE NYAGALI alitoa ISHARA YA SALUTI kwa MEZA KUU pale alipoitwa kwenda kumsalimia mwenyekiti wake mh.Mbowe.....
Ishara ile aliyoitoa ni SALAMU YA JESHI(SALUTI)....
Je raia anatakiwa kutoa salamu ya SALUTI YA KIJESHI kwa viongozi wake ?!!!
Majibu ni haya:
1)Hata askari wa cheo kikubwa wacha kidogo ,haruhusiwi kutoa ISHARA YA SALAMU YA SALUTI akiwa nje ya majukumu ya kikazi ambayo anakuwa HAJAVAA SARE KAMILI ZA KIJESHI....ikumbukwe bila ya kuvaa kofia ya KIJESHI kichwani basi SARE HIYO haijatimia.......
Hapa tunapata FUNZO kutoka kwa mh.mkuu wa Mkoa ,Ndg.Makongoro Nyerere siku ile alipoapishwa na mh.Rais Samia Suluhu Hassan....ndugu Makongoro Nyerere aliisogelea meza ya UAPISHO kwa ukakamavu mkubwa wa KIJESHI bila ya KUPIGA SALUTI bali KUSIMAMA KWA KUCHUCHUMIA akitanguliza UKAKAMAVU WA UTII baada tu ya KUINAMA KWA KUUNYOOSHA MGONGO KWA ADABU NA NIDHAMU TELE.
2)Raia haruhusiwi kuipiga salamu hiyo ya KIJESHI(SALUTI) kwa raia mwenzake ama hata kwa ASKARI Kwani ni kinyume kabisa na utaratibu wa KIJESHI.....
Ikumbukwe kipindi cha msiba wa mpendwa wetu hayati JPM(RIP) walionekana baadhi ya VIONGOZI wakitoa SALAMU hiyo ya jeshi huku wakiwa ndani ya nguo zao za kiraia....
Kwa kuwa CHADEMA wanavaa MAVAZI MEKUNDU na Wakati mwingine BERETI NYEKUNDU vichwani ,je wameanza kujifanya ni CHAMA CHA "EFF" cha AFRIKA YA KUSINI kinachoongozwa na El Comandante Tate Julius Malema ?!!!
CHADEMA wameanza lini kuwa WAKOMUNISTI ?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli CHADEMA ni chama cha MAIGIZO....yaani wao si wakomonisti ila WANAVAA makombati na BERETI NYEKUNDU VICHWANI [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
USHAURI WANGU:
Tabia hii ya raia KUPIGA SALUTI ZA KIJESHI haina AFYA na vyema tukaiacha na KUJIREKEBISHA kwani kama wanasiasa wanapenda mambo ya JESHI basi wajue kujiunga nalo hakukatazwi.....wanaweza kuacha siasa na kwenda JKT na Majeshi mengineyo ili WAKAFURAHIE SALAMU HIZO ZA KIJESHI!!!!
Ndimi MuuzaAl KasusuTandale
#NchiKwanza
#TaifaKwanza
#KaziIendelee
#StaunchSupporterOfSSH
#DieHardFanOfCCM
View attachment 1837245
View attachment 1837247
Usikute wewe ndo yule kamanda wa polisi uliyemkamata Mdude kule Mbeya na kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya na sasa unaona wivu baada ya kuachiwaLeo katika MKUTANO WAO WA KATIBA ambao ndg.Mbowe ameendelea kudhihirisha UKAIDI alionao kwa mamlaka za nchi ya "KIJAMAA" ndugu yetu Mdude Nyagali ametushangaza......
MDUDE NYAGALI amenishangaza vipi ?!!!
TABIA INAYOOTA MIZIZI HAPA NCHINI.......
MDUDE NYAGALI alitoa ISHARA YA SALUTI kwa MEZA KUU pale alipoitwa kwenda kumsalimia mwenyekiti wake mh.Mbowe.....
Ishara ile aliyoitoa ni SALAMU YA JESHI(SALUTI)....
Je raia anatakiwa kutoa salamu ya SALUTI YA KIJESHI kwa viongozi wake ?!!!
Majibu ni haya:
1)Hata askari wa cheo kikubwa wacha kidogo ,haruhusiwi kutoa ISHARA YA SALAMU YA SALUTI akiwa nje ya majukumu ya kikazi ambayo anakuwa HAJAVAA SARE KAMILI ZA KIJESHI....ikumbukwe bila ya kuvaa kofia ya KIJESHI kichwani basi SARE HIYO haijatimia.......
Hapa tunapata FUNZO kutoka kwa mh.mkuu wa Mkoa ,Ndg.Makongoro Nyerere siku ile alipoapishwa na mh.Rais Samia Suluhu Hassan....ndugu Makongoro Nyerere aliisogelea meza ya UAPISHO kwa ukakamavu mkubwa wa KIJESHI bila ya KUPIGA SALUTI bali KUSIMAMA KWA KUCHUCHUMIA akitanguliza UKAKAMAVU WA UTII baada tu ya KUINAMA KWA KUUNYOOSHA MGONGO KWA ADABU NA NIDHAMU TELE.
2)Raia haruhusiwi kuipiga salamu hiyo ya KIJESHI(SALUTI) kwa raia mwenzake ama hata kwa ASKARI Kwani ni kinyume kabisa na utaratibu wa KIJESHI.....
Ikumbukwe kipindi cha msiba wa mpendwa wetu hayati JPM(RIP) walionekana baadhi ya VIONGOZI wakitoa SALAMU hiyo ya jeshi huku wakiwa ndani ya nguo zao za kiraia....
Kwa kuwa CHADEMA wanavaa MAVAZI MEKUNDU na Wakati mwingine BERETI NYEKUNDU vichwani ,je wameanza kujifanya ni CHAMA CHA "EFF" cha AFRIKA YA KUSINI kinachoongozwa na El Comandante Tate Julius Malema ?!!!
CHADEMA wameanza lini kuwa WAKOMUNISTI ?!!! 🤣🤣🤣
Kweli CHADEMA ni chama cha MAIGIZO....yaani wao si wakomonisti ila WANAVAA makombati na BERETI NYEKUNDU VICHWANI 🤣🤣🤣
USHAURI WANGU:
Tabia hii ya raia KUPIGA SALUTI ZA KIJESHI haina AFYA na vyema tukaiacha na KUJIREKEBISHA kwani kama wanasiasa wanapenda mambo ya JESHI basi wajue kujiunga nalo hakukatazwi.....wanaweza kuacha siasa na kwenda JKT na Majeshi mengineyo ili WAKAFURAHIE SALAMU HIZO ZA KIJESHI!!!!
Ndimi MuuzaAl KasusuTandale
#NchiKwanza
#TaifaKwanza
#KaziIendelee
#StaunchSupporterOfSSH
#DieHardFanOfCCM
View attachment 1837245
View attachment 1837247
nenda kamkamateLeo katika MKUTANO WAO WA KATIBA ambao ndg.Mbowe ameendelea kudhihirisha UKAIDI alionao kwa mamlaka za nchi ya "KIJAMAA" ndugu yetu Mdude Nyagali ametushangaza......
MDUDE NYAGALI amenishangaza vipi ?!!!
TABIA INAYOOTA MIZIZI HAPA NCHINI.......
MDUDE NYAGALI alitoa ISHARA YA SALUTI kwa MEZA KUU pale alipoitwa kwenda kumsalimia mwenyekiti wake mh.Mbowe.....
Ishara ile aliyoitoa ni SALAMU YA JESHI(SALUTI)....
Je raia anatakiwa kutoa salamu ya SALUTI YA KIJESHI kwa viongozi wake ?!!!
Majibu ni haya:
1)Hata askari wa cheo kikubwa wacha kidogo ,haruhusiwi kutoa ISHARA YA SALAMU YA SALUTI akiwa nje ya majukumu ya kikazi ambayo anakuwa HAJAVAA SARE KAMILI ZA KIJESHI....ikumbukwe bila ya kuvaa kofia ya KIJESHI kichwani basi SARE HIYO haijatimia.......
Hapa tunapata FUNZO kutoka kwa mh.mkuu wa Mkoa ,Ndg.Makongoro Nyerere siku ile alipoapishwa na mh.Rais Samia Suluhu Hassan....ndugu Makongoro Nyerere aliisogelea meza ya UAPISHO kwa ukakamavu mkubwa wa KIJESHI bila ya KUPIGA SALUTI bali KUSIMAMA KWA KUCHUCHUMIA akitanguliza UKAKAMAVU WA UTII baada tu ya KUINAMA KWA KUUNYOOSHA MGONGO KWA ADABU NA NIDHAMU TELE.
2)Raia haruhusiwi kuipiga salamu hiyo ya KIJESHI(SALUTI) kwa raia mwenzake ama hata kwa ASKARI Kwani ni kinyume kabisa na utaratibu wa KIJESHI.....
Ikumbukwe kipindi cha msiba wa mpendwa wetu hayati JPM(RIP) walionekana baadhi ya VIONGOZI wakitoa SALAMU hiyo ya jeshi huku wakiwa ndani ya nguo zao za kiraia....
Kwa kuwa CHADEMA wanavaa MAVAZI MEKUNDU na Wakati mwingine BERETI NYEKUNDU vichwani ,je wameanza kujifanya ni CHAMA CHA "EFF" cha AFRIKA YA KUSINI kinachoongozwa na El Comandante Tate Julius Malema ?!!!
CHADEMA wameanza lini kuwa WAKOMUNISTI ?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli CHADEMA ni chama cha MAIGIZO....yaani wao si wakomonisti ila WANAVAA makombati na BERETI NYEKUNDU VICHWANI [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
USHAURI WANGU:
Tabia hii ya raia KUPIGA SALUTI ZA KIJESHI haina AFYA na vyema tukaiacha na KUJIREKEBISHA kwani kama wanasiasa wanapenda mambo ya JESHI basi wajue kujiunga nalo hakukatazwi.....wanaweza kuacha siasa na kwenda JKT na Majeshi mengineyo ili WAKAFURAHIE SALAMU HIZO ZA KIJESHI!!!!
Ndimi MuuzaAl KasusuTandale
#NchiKwanza
#TaifaKwanza
#KaziIendelee
#StaunchSupporterOfSSH
#DieHardFanOfCCM
View attachment 1837245
View attachment 1837247
Mkuu mimi ninaitwa Jumbe Brown ,ID yangu si FEKI....Usikute wewe ndo yule kamanda wa polisi uliyemkamata Mdude kule Mbeya na kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya na sasa unaona wivu baada ya kuachiwa
Umepaniki mkuu....nenda kamkamate
🤣🤣Ha ha ha kwa hiyo saluti ya South Korea inapigwa tu na nguo za kiraia?!!!Swali ni kwamba amepiga salute gani, sababu kila jeshi/ nchi ina salute yake, waeza kuta huyo Mdude amepiga salute ya South Korea huko wewe unakuja kutupotezea muda hapa
Kosa ni kosa tu.....
Nakushangaa tu wenye majina yakurithi kutoka kwaviongozi wenye uwezo wakujenga hoja hasa tz mnakuaga mizezeta kama wewe unajiita jumbe ,tutaendelea kuona ajabu kunawengine wamezaliwa awamu ya 5,wanaitwa magufuli,awamu yamkapa wote wanachunga ng'ombeUmepaniki mkuu....
USHAURI tu kwa raia wenzangu mkuu!
🤣🤣Mkuu sijajiita...hilo jina wameniita wazazi wangu....mkuu unataka kunipa jina lingine mbali na hilo lililo katika cheti Cha kuzaliwa na kitambulisho changu cha utaifa?!! Ha ha ha mkuu una ARGUMENTUM AD HOMINEM wewe.....Nakushangaa tu wenye majina yakurithi kutoka kwaviongozi wenye uwezo wakujenga hoja hasa tz mnakuaga mizezeta kama wewe unajiita jumbe ,tutaendelea kuona ajabu kunawengine wamezaliwa awamu ya 5,wanaitwa magufuli,awamu yamkapa wote wanachunga ng'ombe
Muulize SabayaLeo katika MKUTANO WAO WA KATIBA ambao ndg.Mbowe ameendelea kudhihirisha UKAIDI alionao kwa mamlaka za nchi ya "KIJAMAA" ndugu yetu Mdude Nyagali ametushangaza......
MDUDE NYAGALI amenishangaza vipi ?!!!
TABIA INAYOOTA MIZIZI HAPA NCHINI.......
MDUDE NYAGALI alitoa ISHARA YA SALUTI kwa MEZA KUU pale alipoitwa kwenda kumsalimia mwenyekiti wake mh.Mbowe.....
Ishara ile aliyoitoa ni SALAMU YA JESHI(SALUTI)....
Je raia anatakiwa kutoa salamu ya SALUTI YA KIJESHI kwa viongozi wake ?!!!
Majibu ni haya:
1)Hata askari wa cheo kikubwa wacha kidogo ,haruhusiwi kutoa ISHARA YA SALAMU YA SALUTI akiwa nje ya majukumu ya kikazi ambayo anakuwa HAJAVAA SARE KAMILI ZA KIJESHI....ikumbukwe bila ya kuvaa kofia ya KIJESHI kichwani basi SARE HIYO haijatimia.......
Hapa tunapata FUNZO kutoka kwa mh.mkuu wa Mkoa ,Ndg.Makongoro Nyerere siku ile alipoapishwa na mh.Rais Samia Suluhu Hassan....ndugu Makongoro Nyerere aliisogelea meza ya UAPISHO kwa ukakamavu mkubwa wa KIJESHI bila ya KUPIGA SALUTI bali KUSIMAMA KWA KUCHUCHUMIA akitanguliza UKAKAMAVU WA UTII baada tu ya KUINAMA KWA KUUNYOOSHA MGONGO KWA ADABU NA NIDHAMU TELE.
2)Raia haruhusiwi kuipiga salamu hiyo ya KIJESHI(SALUTI) kwa raia mwenzake ama hata kwa ASKARI Kwani ni kinyume kabisa na utaratibu wa KIJESHI.....
Ikumbukwe kipindi cha msiba wa mpendwa wetu hayati JPM(RIP) walionekana baadhi ya VIONGOZI wakitoa SALAMU hiyo ya jeshi huku wakiwa ndani ya nguo zao za kiraia....
Kwa kuwa CHADEMA wanavaa MAVAZI MEKUNDU na Wakati mwingine BERETI NYEKUNDU vichwani ,je wameanza kujifanya ni CHAMA CHA "EFF" cha AFRIKA YA KUSINI kinachoongozwa na El Comandante Tate Julius Malema ?!!!
CHADEMA wameanza lini kuwa WAKOMUNISTI ?!!! 🤣🤣🤣
Kweli CHADEMA ni chama cha MAIGIZO....yaani wao si wakomonisti ila WANAVAA makombati na BERETI NYEKUNDU VICHWANI 🤣🤣🤣
USHAURI WANGU:
Tabia hii ya raia KUPIGA SALUTI ZA KIJESHI haina AFYA na vyema tukaiacha na KUJIREKEBISHA kwani kama wanasiasa wanapenda mambo ya JESHI basi wajue kujiunga nalo hakukatazwi.....wanaweza kuacha siasa na kwenda JKT na Majeshi mengineyo ili WAKAFURAHIE SALAMU HIZO ZA KIJESHI!!!!
Ndimi MuuzaAl KasusuTandale
#NchiKwanza
#TaifaKwanza
#KaziIendelee
#StaunchSupporterOfSSH
#DieHardFanOfCCM
View attachment 1837245
View attachment 1837247
Post haimhusu Sabaya Chalii yangu 🤣Muulize Sabaya