Mdude Nyagali na saluti: Hii tabia Watanzania tulio raia tumejifunzia wapi?

..mbona alipofanya makonda hamkusema?

View attachment 1837254
Unahalalisha kosa kisa amefanya Komredi Makonda?!!!

Hwenda Komredi Makonda amefanya kwa HISIA ZA MSIBA na kutafuta HESHIMA YA KIPEKEE atakayompa kipenzi chetu hayati JPM(May his soul rest easy amen).!

Kosa ni kosa....TWO WRONGS DOES NOT MAKE ONE RIGHT!!!
 
..mashabiki wa simba nao wanapiga saluti.

..endeleeni kumtisha mama!!

Reactions: BAK
Swali ni kwamba amepiga salute gani, sababu kila jeshi/ nchi ina salute yake, waeza kuta huyo Mdude amepiga salute ya South Korea huko wewe unakuja kutupotezea muda hapa
 
Ni upuuzi kufikiria kuwa salute ni salamu ya jeshi pekee. Hivi umewahi kutoka nje ya Tanzania?

Kuna wakati nilikuwa Nairobi, nikiwa na gari yenye namba za Tanzania, traffic Police, kabla ya kuniuliza chochote, alinipigia salute, halafu akaniuliza alichokusudia.

Salute ni salamu kama zilivyo salamu nyingine. Hapa kwetu jeshi letu limeamua kuwa na utamaduni wake wa kusalimiana, lakini utamaduni huo haulazimishwi kwa mtu asiye mwanajeshi, wala hakuna sheria yoyote inayosema kuwa salamu ya namna hiyo imehodhiwa na jeshi pekee yake.
 
Usikute wewe ndo yule kamanda wa polisi uliyemkamata Mdude kule Mbeya na kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya na sasa unaona wivu baada ya kuachiwa
 
Usibabaishwe na saluti, hata wewe unaweza kumpigia mtu yeyote, na haina satahili ya kupigwa- uwe umejikaza au uko legelege, umeweka kiganja cha mkono kwenye paji la uso au sikioni, unashusha mkono wako kwa pembeni au kwa mbele, zote ni saluti tu. Mimi huwa nampigia saluti mfagiaji wa ofisini kwangu kila ninapoingia na kumkuta anamaliziza kusafisha sakafu kama dalili ya kuheshimu huduma yake.
 
nenda kamkamate
 
Reactions: BAK
Usikute wewe ndo yule kamanda wa polisi uliyemkamata Mdude kule Mbeya na kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya na sasa unaona wivu baada ya kuachiwa
Mkuu mimi ninaitwa Jumbe Brown ,ID yangu si FEKI....

Mimi ni muuza Al Kasusu tu huku Tandale ....mbona baadhi ya wadau humu ndani wananifahamu ?!!!

Karibu kijiweni kwangu unywe Al Kasus mujarabu zaidi ya Mundende Vumbi Kasongo Mpango....

#KaziIendelee
 
Swali ni kwamba amepiga salute gani, sababu kila jeshi/ nchi ina salute yake, waeza kuta huyo Mdude amepiga salute ya South Korea huko wewe unakuja kutupotezea muda hapa
🤣🤣Ha ha ha kwa hiyo saluti ya South Korea inapigwa tu na nguo za kiraia?!!!

Mbona picha zake za hiyo saluti zipo....zipo wazi tu....
 
Umepaniki mkuu....

USHAURI tu kwa raia wenzangu mkuu!
Nakushangaa tu wenye majina yakurithi kutoka kwaviongozi wenye uwezo wakujenga hoja hasa tz mnakuaga mizezeta kama wewe unajiita jumbe ,tutaendelea kuona ajabu kunawengine wamezaliwa awamu ya 5,wanaitwa magufuli,awamu yamkapa wote wanachunga ng'ombe
 
🤣🤣Mkuu sijajiita...hilo jina wameniita wazazi wangu....mkuu unataka kunipa jina lingine mbali na hilo lililo katika cheti Cha kuzaliwa na kitambulisho changu cha utaifa?!! Ha ha ha mkuu una ARGUMENTUM AD HOMINEM wewe.....
 
Muulize Sabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…