Mdude Nyagali na saluti: Hii tabia Watanzania tulio raia tumejifunzia wapi?

Nimejilewea bia buku Mia tano tu ukiwa na 10 unagonga safari 5 saaafi. Niache tu mazee
Safari gani meku ?!!🤣🤣

Umetoka midandamoni kujigongea mbege ya kupasiana unajivimbisha tu humu ndani 🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii inaitwa nongwa mtasema mpaka kukimbia mchakamchaka mtasema hairuhusiwi
 
Suburi jeshi lichukue hatua, mara nyingi jeshi halipendi kusemewa na ukiona limepuuza jua hakuna kitu hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii inaitwa nongwa mtasema mpaka kukimbia mchakamchaka mtasema hairuhusiwi
Mkuu kwani wachezaji michezo ni ASKARI?!!🤣

Mkuu kwani nimekosea kusema kuwa SALUTI ya KIJESHI ina taratibu zake ?!!

Mkuu KOSA NI KOSA TU mkuu ama tulifunike kwa kuwa ametenda MDUDE NYAGALI AMA YULE KOMREDI WANGU siku ile ya msiba wa mpendwa wetu hayati JPM?!!!
 
Suburi jeshi lichukue hatua, mara nyingi jeshi halipendi kusemewa na ukiona limepuuza jua hakuna kitu hapo.
Nimekumbushia tu makosa tufanyayo raia.... Wao kuchukua ama kutochukua hatua ni jambo jengine....
 
Saluti gani ya kijeshi wakati sio mwanajeshi [emoji23][emoji23][emoji1787] hii ndio inaitwa nongwa wanajeshi wanajua wanavyosalimiana
 
Saluti gani ya kijeshi wakati sio mwanajeshi [emoji23][emoji23][emoji1787] hii ndio inaitwa nongwa wanajeshi wanajua wanavyosalimiana
Kwani mwanajeshi anapovua SARE anatakiwa kupiga saluti ?!!

Rejea aliyekuwa mwanajeshi mh.Makongoro Nyerere alivyokakamaa kinidhamu ya jeshi siku anaapishwa uRC....

Kwa hoja yako unadhani angekuwa amevaa SARE asingepiga "saluti ya kijeshi"?!!

Mkuu banaa 🤣🤣
 
Najiuliza kwa.nini Rais JMT anateua vijana wengi waliofundwa CHADEMA.. Kwa thread hii,Mwenyekiti wa CCM(T) yuko sahihi.
 
Mbona bashite alimpigia mwendazake kwenye jeneza kule Mwanza hukuhoji
 
Kwa hiyo hapo unataka kutuambia kafanya makosa hivyo arudishwe jela sio, kumbuka enzi za ubabe, visa na visasi umepita, ndio maana katiba mpya ndio mpango mzima.
 
Hivi unajua maana ya nchi ya kijamaa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…