Hajui hata alichokiandika, mara salute mara kombati, mara kofia, kifupi haeleweki. Salute ni salamu kama salamu endapo kundi fulani limeamua kuitumia, ingekuwa ajabu kama Mdude angewapigia Askari.Salute nayo ni military assets?
Ulifata nini humo ndani we kibwengo au mmeanza tabia za mwiguru kutulushia mabomu?Leo katika MKUTANO WAO WA KATIBA ambao ndg.Mbowe ameendelea kudhihirisha UKAIDI alionao kwa mamlaka za nchi ya "KIJAMAA" ndugu yetu Mdude Nyagali ametushangaza......
MDUDE NYAGALI amenishangaza vipi ?!!!
TABIA INAYOOTA MIZIZI HAPA NCHINI.......
MDUDE NYAGALI alitoa ISHARA YA SALUTI kwa MEZA KUU pale alipoitwa kwenda kumsalimia mwenyekiti wake mh.Mbowe.....
Ishara ile aliyoitoa ni SALAMU YA JESHI(SALUTI)....
Je raia anatakiwa kutoa salamu ya SALUTI YA KIJESHI kwa viongozi wake ?!!!
Majibu ni haya:
1)Hata askari wa cheo kikubwa wacha kidogo ,haruhusiwi kutoa ISHARA YA SALAMU YA SALUTI akiwa nje ya majukumu ya kikazi ambayo anakuwa HAJAVAA SARE KAMILI ZA KIJESHI....ikumbukwe bila ya kuvaa kofia ya KIJESHI kichwani basi SARE HIYO haijatimia.......
Hapa tunapata FUNZO kutoka kwa mh.mkuu wa Mkoa ,Ndg.Makongoro Nyerere siku ile alipoapishwa na mh.Rais Samia Suluhu Hassan....ndugu Makongoro Nyerere aliisogelea meza ya UAPISHO kwa ukakamavu mkubwa wa KIJESHI bila ya KUPIGA SALUTI bali KUSIMAMA KWA KUCHUCHUMIA akitanguliza UKAKAMAVU WA UTII baada tu ya KUINAMA KWA KUUNYOOSHA MGONGO KWA ADABU NA NIDHAMU TELE.
2)Raia haruhusiwi kuipiga salamu hiyo ya KIJESHI(SALUTI) kwa raia mwenzake ama hata kwa ASKARI Kwani ni kinyume kabisa na utaratibu wa KIJESHI.....
Ikumbukwe kipindi cha msiba wa mpendwa wetu hayati JPM(RIP) walionekana baadhi ya VIONGOZI wakitoa SALAMU hiyo ya jeshi huku wakiwa ndani ya nguo zao za kiraia....
Kwa kuwa CHADEMA wanavaa MAVAZI MEKUNDU na Wakati mwingine BERETI NYEKUNDU vichwani ,je wameanza kujifanya ni CHAMA CHA "EFF" cha AFRIKA YA KUSINI kinachoongozwa na El Comandante Tate Julius Malema ?!!!
CHADEMA wameanza lini kuwa WAKOMUNISTI ?!!! 🤣🤣🤣
Kweli CHADEMA ni chama cha MAIGIZO....yaani wao si wakomonisti ila WANAVAA makombati na BERETI NYEKUNDU VICHWANI 🤣🤣🤣
USHAURI WANGU:
Tabia hii ya raia KUPIGA SALUTI ZA KIJESHI haina AFYA na vyema tukaiacha na KUJIREKEBISHA kwani kama wanasiasa wanapenda mambo ya JESHI basi wajue kujiunga nalo hakukatazwi.....wanaweza kuacha siasa na kwenda JKT na Majeshi mengineyo ili WAKAFURAHIE SALAMU HIZO ZA KIJESHI!!!!
Ndimi MuuzaAl KasusuTandale
#NchiKwanza
#TaifaKwanza
#KaziIendelee
#StaunchSupporterOfSSH
#DieHardFanOfCCM
View attachment 1837245
View attachment 1837247
*ulifata=ulifuata?!!Ulifata nini humo ndani we kibwengo au mmeanza tabia za mwiguru kutulushia mabomu?
Ndio....Hivi unajua maana ya nchi ya kijamaa kweli?
Nimemkosoa hapo juu...Lete comment yako ukimkosoa Makonda.
🤣🤣Hajui hata alichokiandika, mara salute mara kombati, mara kofia, kifupi haeleweki. Salute ni salamu kama salamu endapo kundi fulani limeamua kuitumia, ingekuwa ajabu kama Mdude angewapigia Askari.
Mbona haoji raia kuwaita Askari maafande ili Hali ni Neno la kijeshi?
Ask herSalute nayo ni military assets?
Uku kabinua matako
Ni upuuzi kufikiria kuwa salute ni salamu ya jeshi pekee. Hivi umewahi kutoka nje ya Tanzania?
Kuna wakati nilikuwa Nairobi, nikiwa na gari yenye namba za Tanzania, traffic Police, kabla ya kuniuliza chochote, alinipigia salute, halafu akaniuliza alichokusudia.
Salute ni salamu kama zilivyo salamu nyingine. Hapa kwetu jeshi letu limeamua kuwa na utamaduni wake wa kusalimiana, lakini utamaduni huo haulazimishwi kwa mtu asiye mwanajeshi, wala hakuna sheria yoyote inayosema kuwa salamu ya namna hiyo imehodhiwa na jeshi pekee yake.
Two wrongs does not make one right......Uku kabinua matako
🤣Kwanini ndugu yangu Extrovert?!!Mkuu huna mke nini? Tafta hata malaya mtaa wa pili
Huwezi kupost mada saa 6 za usiku wakati watu wanaimarisha upendo na wake zao!🤣Kwanini ndugu yangu Extrovert?!!
🤣Uongo mkuu.....Najiuliza kwa.nini Rais JMT anateua vijana wengi waliofundwa CHADEMA.. Kwa thread hii,Mwenyekiti wa CCM(T) yuko sahihi.
Ha ha ha 🤣🤣Huwezi kupost mada saa 6 za usiku wakati watu wanaimarisha upendo na wake zao!
Sawa, uzuri wake hunifahamu maana hata safari mie ni too low for me umri wangu sio wa kunywa Pombe za wapiga debe na vijana wa chuo wanaokunywa kwa bei rahisi walewe mapema.Safari gani meku ?!!🤣🤣
Umetoka midandamoni kujigongea mbege ya kupasiana unajivimbisha tu humu ndani 🤣
Kwa hiyo alkasusu huuzi tena?Ha ha ha [emoji1787][emoji1787]
Mimi mlinzi Korokoroni mkuu Extrovert......
We kweli ni mbulula,au umezaliwa mwaka 1947!duniani hakuna nchi yenye nguvu na tekinolojia ya kijeshi kama USA,mbona Maraisi wao ambao sio wanajeshi hutoa hii salamu, Bush,Obama,Trump,wanapokuwa wanashuka kwenye air force one,hutoa hii saluti.Leo katika mkutano wao wa katiba ambao Ndg. Mbowe ameendelea kudhihirisha ukaidi alionao kwa mamlaka za nchi ya "kijamaa" ndugu yetu mdude nyagali ametushangaza.
Mdude nyagali amenishangaza vipi?
Tabia inayoota mizizi hapa nchini.
Mdude nyagali alitoa ishara ya saluti kwa meza kuu pale alipoitwa kwenda kumsalimia mwenyekiti wake Mh. Mbowe.
Ishara ile aliyoitoa ni salamu ya jeshi (saluti).
Je, raia anatakiwa kutoa salamu ya saluti ya kijeshi kwa viongozi wake?
Majibu ni haya:
1) Hata askari wa cheo kikubwa wacha kidogo, haruhusiwi kutoa ishara ya salamu ya saluti akiwa nje ya majukumu ya kikazi ambayo anakuwa hajavaa sare kamili za kijeshi. Ikumbukwe bila ya kuvaa kofia ya kijeshi kichwani basi sare hiyo haijatimia.
Hapa tunapata funzo kutoka kwa mh.Mkuu wa mkoa Ndg. Makongoro Nyerere siku ile alipoapishwa na mh.Rais samia suluhu hassan. Ndugu Makongoro Nyerere aliisogelea meza ya uapisho kwa ukakamavu mkubwa wa kijeshi bila ya kupiga saluti bali kusimama kwa kuchuchumia akitanguliza ukakamavu wa utii baada tu ya kuinama kwa kuunyoosha mgongo kwa adabu na nidhamu tele.
2) Raia haruhusiwi kuipiga salamu hiyo ya kijeshi (saluti) kwa raia mwenzake ama hata kwa askari kwani ni kinyume kabisa na utaratibu wa kijeshi.
Ikumbukwe kipindi cha msiba wa mpendwa wetu hayati JPM (RIP) walionekana baadhi ya viongozi wakitoa salamu hiyo ya jeshi huku wakiwa ndani ya nguo zao za kiraia.
Kwa kuwa chadema wanavaa mavazi mekundu na wakati mwingine bereti nyekundu vichwani, je wameanza kujifanya ni chama cha "EFF" cha Afrika Kusini kinachoongozwa na el comandante tate julius malema?
Chadema wameanza lini kuwa wakomunisti? 🤣🤣🤣
Kweli chadema ni chama cha maigizo, yaani wao si wakomonisti ila wanavaa makombati na bereti nyekundu vichwani 🤣🤣🤣
Ushauri wangu:
Tabia hii ya raia kupiga saluti za kijeshi haina afya na vyema tukaiacha na kujirekebisha kwani kama wanasiasa wanapenda mambo ya jeshi basi wajue kujiunga nalo hakukatazwi, wanaweza kuacha siasa na kwenda JKT na majeshi mengineyo ili wakafurahie salamu hizo za kijeshi!
Ndimi MuuzaAl KasusuTandale
#NchiKwanza
#TaifaKwanza
#KaziIendelee
#StaunchSupporterOfSSH
#DieHardFanOfCCM
View attachment 1837245
View attachment 1837247