kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Akipelekwa mahakamani msilalamike kuwa anaonewa
Mmh .... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya bhanaMkuu hata sheria inakataza wewe kuingiliwa kinyume na maumbile, lakini tunajua unatafunwa.
Lakini sababu unaliwa sirini sio ishu kwa raha zako, ukianza kutangaza hadharani utapata tabu sana.
Sasa samia ni mama yako au ni rais?Dah nasikitika hujanielewa au unajitoa ufahamu awamu hii ni nani kawapa uhuru watu walioonewa kama si Mama Samia.
Labda Mdude alimroga Magufuli na kusababisha kifo chake.Habar wadau wa jamiforums
Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo....
Habar wadau wa jamiforums
Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo...
Mada imekaa kimbea mbea kweli hii, sasa jamaa unawasemea wenzio ili wakisulubiwa sijui ndio utafurahi. Unadhani mama yeye hajaziona hizo video?Habar wadau wa jamiforums
Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo...
Habar wadau wa jamiforums
Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo
Rais Samia ulimuachia Mdude kwa Mapenzi yako kama mama mwenye upendo na si kwa sababu Mdude hakua na Hatia. Ila huruma yako Mama kwanza ilimchafua Hayat na kuonekana alikua Katil na kesi ya mdude hakustail kuwa nayo...
Mada imekaa kimbea mbea kweli hii, sasa jamaa unawasemea wenzio ili wakisulubiwa sijui ndio utafurahi. Unadhani mama yeye hajaziona hizo video? Hebu kaa kwa kutulia nilijua una la maana sana uliposema "uliamua kukaa kimya kusemea mambo ya siasa na sasa umeamua kusema" bas nikajua labda umekuja na la maana kumbe huu umbea wako tu. Hizi ndio siasa na usidhani wanasiasa wapo kama wewe.