Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Unafuatilia siasa za upinzani wa Afrika ya kusini (hasa wabunge wa kile chama Cha yule Malema) dhidi ya serikali ya chama Tawala??
 
Majinga sana CCM toka 1961 Hadi leo wanajenga nchi si vituko ivyo

Kazi ya ujenzi ni endelevu kulingana na malengo ya dunia Kijana, hebu acha kuzungusha mikono na kuendelea kubadilishiwa gear angani.
 
Unafuatilia siasa za upinzani wa Afrika ya kusini (hasa wabunge wa kile chama Cha yule Malema) dhidi ya serikali ya chama Tawala??
malema hata kwa kumtizama tu anaonekana anachoma majani,sijui kwa mdude.

nimemfatilia malema sana,huwa ni mkali kweli kweli lakini ni nadra kumtamkia mtu maneno ya hovyo hovyo.ndipo hapa nakataa kama hata mdude anachoma.
 
Tz nchi ya ajabu kweli yaani mtu na akili zake anashabikia uhuru wa kujieleza na uhuru wa mahakama kuingiliwa
 
Hiki ndio kipaji alichonacho na Chadema wamekibariki.

Mwenyekiti wa chama mwenyewe aliwahi hudhuria kesi yake several times kuonesha solidarity.

Tukana tu Mzee, maana matusi yako ni nyimbo Bora Kwa wapinzani.
 
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?

Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.

Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana

View attachment 1837535
Huyu mwendawazimu usije ukamfananisha kabisa na kina kheri james. Hata kama hukubaliani nao kisiasa. Huyu jamaa Lugha za matusi alizianza siku nyingi sana labda kama ulikua huzifuatilii siasa zake. Hajawahi kuwa na lugha za staha. Isipokua watu huwa tunapenda mara zote kuinyooshea kidole Serikali inapochukua hatua bila kuangalia matendo ya watu.
 
Hata mandela angekuwa muoga kama wewe S.A isingepata uhuru watu kama mdude wasipokuwepo CCM itatawala milele daima na kufanya ujinga wa kila aina
Kwahiyo mdude ndo atafanya CCM isiendelee kutawala.
 
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?

Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.

Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana

View attachment 1837535
Huyu ni mjinga hastahili kutolewa,Hawa kesi zao ni rahisi tuu ,washtakiwe kwa uhaini wanahatarisha usalama wa nchi
 
Baadhi ya watu humu ni WAPUMBAVU kabisa, wanashindwa ku - reason masuala. Hakuna ukakasi wala kosa la kisheria kwenye kauli ya Mdude, kwa nini mnaanza kusema arudi gerezani?

Mwendazake hakumshtaki kwa kosa la kauli zake maana alijua siyo kauli zenye kosa kisheria ndiyo maana akatafuta makosa ya kubumba ya dawa za kulevya!
Sasa mnasema awe makini katika lipi? Kama kauli zake ni kosa kisheria kulikuwa na haja gani kubumba makosa ya jinai ya dawa za kulevya?

Rais wa nchi ni MWAJIRIWA wa umma, lazima afate matakwa ya Katiba na sheria zingine za nchi. Kuna masuala siyo HISANI yake, anapaswa kuyafanya kwa kuzingatia katiba na sheria. Mdude kaweka wazi kuwa kama ataenenda kinyume na Katiba na Sheria alizo apa kulinda basi ataambiwa kweli na wazi kabisa bila kumung'unya maneno.

Mwendazake utawala wake ulikiuka katiba na sheria za nchi ambazo leo hii Mama anafanya masahihisho tunamsifia, ila watu wanamshangaa Mdude badala ya kushangaa na kupiga kelele kwa wanaofanya mambo ya hovyo kinyume na sheria!

Rais kama hawezi kusikia lugha za kukosoa, aache watu wengine wachukue nafasi yeye arudi Zanzibar akalime karafuu na kula urojo.
 
Huyu jamaa anatafuta sifa Kwa Kasi Sana,hajui kuwa kama sio Mama Samia kutaka atolewe saivi angelikuwa bado anachezewa matako gerezani? Ajirekebishe mshenzi Sana.
 
Inaonekana hujielewi wala hujitambui,futa upuuzi wako uliotuchorea hapa
 
Baadhi ya watu humu ni WAPUMBAVU kabisa, wanashindwa ku - reason masuala. Hakuna ukakasi wala kosa la kisheria kwenye kauli ya Mdude, kwa nini mnaanza kusema arudi gerezani?

Mwendazake hakumshtaki kwa kosa la kauli zake maana alijua siyo kauli zenye kosa kisheria ndiyo maana akatafuta makosa ya kubumba ya dawa za kulevya!
Sasa mnasema awe makini katika lipi? Kama kauli zake ni kosa kisheria kulikuwa na haja gani kubumba makosa ya jinai ya dawa za kulevya?

Rais wa nchi ni MWAJIRIWA wa umma, lazima afate matakwa ya Katiba na sheria zingine za nchi. Kuna masuala siyo HISANI yake, anapaswa kuyafanya kwa kuzingatia katiba na sheria. Mdude kaweka wazi kuwa kama ataenenda kinyume na Katiba na Sheria alizo apa kulinda basi ataambiwa kweli na wazi kabisa bila kumung'unya maneno.

Mwendazake utawala wake ulikiuka katiba na sheria za nchi ambazo leo hii Mama anafanya masahihisho tunamsifia, ila watu wanamshangaa Mdude badala ya kushangaa na kupiga kelele kwa wanaofanya mambo ya hovyo kinyume na sheria!

Rais kama hawezi kusikia lugha za kukosoa, aache watu wengine wachukue nafasi yeye arudi Zanzibar akalime karafuu na kula urojo.
Inaonekana hujielewi wala hujitambui,futa upuuzi wako uliotuchorea hapa
 
Jiwe alikuwa mzalendo sana.....
angekuwa katili huyu jamaa asingekuwepo na mitusi yake....
Madikteta wote hujificha kwenye kivuli cha uzalendo ili kutafuta sababu ya kukandamiza watu. Hata Hitler, Mussolini, Gaddaffi na Iddi Amini walikua wazalendo
 
Hata mandela angekuwa muoga kama wewe S.A isingepata uhuru watu kama mdude wasipokuwepo CCM itatawala milele daima na kufanya ujinga wa kila aina
Mandela hakuwahi kutukana watu, hebu nsinajusi harakati za waliyopita kwa kufananisha na Ujinga wa huyu jamaa
 
Back
Top Bottom