Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
"Mchuma janga hula na wa kwao"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu Kama mdude wapo na uzaliwa vile mfano Malema wa SA , Uganda bob , wale hawana Cha kupoteza , bali haki itendeke tuNi jambo lililo wazi ya kuwa watu wengi walikuwa wanamhurumia Mdude kwa mateso aliyopitia.Inawezekana kuwa maneno na kauli zake zilikuwa za kukera lakini kwa mateso aliyopitia kama ndio ya adhabu ya kukera wakubwa ilikuwa ya kupitiliza.
Chadema Chama Kikubwa cha siasa kimeshindwa kuelewa kuwa Mdude anahitaji ushauri wa kisaikolojia ili arudi katika hali ya kawaida ikiwa pamoja na kumuelimisha kuhusu mabadiliko yaliyotokea katika kipindi kifupi na muelekeo wa Chama.
Kumpandisha Mdude katika hadhara kubwa kama ile kwa vyovyote kunakaribisha kuteleza ulimi ambako kunaweza kuweka pengo katika mikakati iliyowekwa.
Mdude afanyiwe orientation upya na pamoja na ushindi ajaribu kuangalia ni wapi alijikwaa.
Well said kumnyamazisha mdude labda umuue lakini huwezi kumnyamazishaWatu Kama mdude wapo na uzaliwa vile mfano Malema wa SA , Uganda bob , wale hawana Cha kupoteza , bali haki itendeke tu
Tuliona wengi kipindi Cha mwendazake walikua wanatekwa wakipatikana wanaufyata,Mdude alitekwa ila bado akafanya press bila wasiwasi, aina ile ya Mdude , au mtu kama mh lissu , Wanayo nguvu isiyo ya kawaida kiroho, so Mdude hata mpambike kwenye mti na kumpigilia misumali hawezi kana kile anakiamini MPAKA pale atakapo maliza kile mungu amemuitia duniani Basi , Kama wabisha anza fuatilia history za watu aina ya Mdude anzia utotoni utashangaa sana
Ni upumbavu kujiingiza kwenye vita ambayo unajua kabisa huwezi kushinda...Mdude ameshinda kesi aliyosingiziwa kuhusika na madawa ya kulevya.
..Hudhani kwamba wanaotakiwa kupewa ushauri nasaha ni watu wa serikali waliomshitaki kwa tuhuma za uongo?
..Huko nyuma Mdude aliwahi kushinda kesi nyingine mbili za kisiasa za kuzushiwa na serikali ya awamu ya 5.
..Mdude pia aliwahi kufungua kesi dhidi ya askari Polisi ambao anawatuhumu kuwa walimtesa wakati alipokuwa akishikiliwa na jeshi la polisi.
..Mahakama imemuona Mdude hana makosa baada ya majaribio matatu ya serikali ya awamu ya 5 kujaribu kumfunga.
..Harakati za kumlaumu Mdude sasa hivi ni juhudi za kuwatakasa waliomteka, waliomtesa, na kumfungulia kesi za uongo.
Watu Kama mdude wapo na uzaliwa vile mfano Malema wa SA , Uganda bob , wale hawana Cha kupoteza , bali haki itendeke tu
Tuliona wengi kipindi Cha mwendazake walikua wanatekwa wakipatikana wanaufyata,Mdude alitekwa ila bado akafanya press bila wasiwasi, aina ile ya Mdude , au mtu kama mh lissu , Wanayo nguvu isiyo ya kawaida kiroho, so Mdude hata mpambike kwenye mti na kumpigilia misumali hawezi kana kile anakiamini MPAKA pale atakapo maliza kile mungu amemuitia duniani Basi , Kama wabisha anza fuatilia history za watu aina ya Mdude anzia utotoni utashangaa sana
Well said kumnyamazisha mdude labda umuue lakini huwezi kumnyamazisha
Ifike hatua tujue kukosoa kuna hitaji kufanywe kwa staha, sio kutoa maneno yenye matusi na kejeli dhidi ya Serikali na viongozi wake...Mdude ameshinda kesi aliyosingiziwa kuhusika na madawa ya kulevya.
..Hudhani kwamba wanaotakiwa kupewa ushauri nasaha ni watu wa serikali waliomshitaki kwa tuhuma za uongo?
..Huko nyuma Mdude aliwahi kushinda kesi nyingine mbili za kisiasa za kuzushiwa na serikali ya awamu ya 5.
..Mdude pia aliwahi kufungua kesi dhidi ya askari Polisi ambao anawatuhumu kuwa walimtesa wakati alipokuwa akishikiliwa na jeshi la polisi.
..Mahakama imemuona Mdude hana makosa baada ya majaribio matatu ya serikali ya awamu ya 5 kujaribu kumfunga.
..Harakati za kumlaumu Mdude sasa hivi ni juhudi za kuwatakasa waliomteka, waliomtesa, na kumfungulia kesi za uongo.
Tz ilikua na machifu wangapi why MKwawa anaishi katika history ya tz na Wengine wa aina yake ,jiulize, je ni kwamba hapakua na machief Wengine tz hii, ukipata majibu then utakuja sema apa jf na utwambie ilikuaje kipindi Cha mkoloni machief Wengine waliufyata mpaka kuuza ndugu zao Kama watumwa Wengine waliingia vita tafuta haki za watu waohahahahahaha Mdude unamfananisha na Malema au Bob hahahahaha....ndio maana tukatengeneza urafiki na yule bob amsterdam hahahahahaha bado mna utoto mwingi, mna miaka 1000 ya kukomaa kisiasa....
Ifike hatua tujue kukosoa kuna hitaji kufanywe kwa staha, sio kutoa maneno yenye matusi na kejeli dhidi ya Serikali na viongozi wake.
Hata vitabu vya dini vinatuasa kutii mamlaka
Uhuru bila mipaka ni wendawazimu, sasa alichokuwa akikifanya Mdude ni wendawazimu kwa matumizi mabaya ya uhuru alionao
Serikali ilichofanya ni kumpa funzo Mdude, ndio ile inaitwa asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu
Serikali haikua na nia ya kumfunga jela, na ingeamua kumfunga isingeshindwa, bali ilitaka kumtia kashikashi ili ashike adabu na awe na heshima kwa waliomzidi umri,,, sasa kama kukaa siku 400 mahabusu hakukumfunza basi kuna anachokitafuta na atakipata
Ni upumbavu kujiingiza kwenye vita ambayo unajua kabisa huwezi kushinda.
Hiyo ni busara ya kawaida, haijalishi una haki kiasi gani.
Mbona Mbowe huwa anaogopa Dola?
Ahaa kumbeWala sioni tatizo, hiyo ndio freedom of speech inayolindwa na Katiba ya Zamani.
Kumbe huwa mnapoteza watu, laana imeanza kuwatafuna ,si mnaona mnatoa siri?Dogo akiendelea asijekulialia tena atapotezwa vilevile na hakuna kitu Chadema watafanya.
Mbowe hajaanza siasa wakati wa Magufuli...Mbowe pamoja na uungwana wake aliishia kukoswa-koswa na marisasi na kwa bahati mbaya Aquilina akauwawa.
..Nadhani wanaopaswa kuwa na busara na utu ni wale wenye dola na mamlaka ambao inaonekana wanayatumia vibaya.
Kwenye maslai ya taifa mfano katiba mpya ,hakuna Cha staha na habembelezwi mtu katiba ni haki ya wananchi watawaliwa, watawala wamepanga hawana Hati miliki ya NCHI hii ,that's twataka katiba ya kuwapa mamlaka wananchi maana taifa ni lao ,ingekuwa rais katukanwa kwenye kongamano la katiba ningetetea , ila Kama kinachaongelewa ni haki ya wananchi basi,NASEMA TWENDE KAMA KUPIGWA MARISASI SAWA ILIHALI KATIBA IPATIKANE , Nyie Chama gani mnaogopa KATIBA MPYA ?Ifike hatua tujue kukosoa kuna hitaji kufanywe kwa staha, sio kutoa maneno yenye matusi na kejeli dhidi ya Serikali na viongozi wake.