Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Kwani Lipumba mwenye professor si alikua CUF damu na mbona baadae aligeuka na kuwa mnafiki, watz sisi kitu ukweli hatupendi kabisa
Unafkria kwa hivyo mlivyo watu kama nyinyi ndio ccm itatoa madaraka kuwakadhi? Dunia nzima hakuna sehem wanatoa haki kama hivyo
nikiendelea kukujibu tutafanana, naogopa 🤣
 
Kwa maoni yangu Inabidi atafute namna ya kuwasilisha maoni yake bila kutumia lugha kali. Hii kauli ilikua haina haja.
 
Ana safari ndefu anahitaji kubehave vizuri,sio anakuwa ka makonda ambao huwa wamevurugwa
Shida ya hawa vijana wetu, huwa hawajitambui. Ni rahisi kutumika na huyu amelewa sifa za kijinga. Akibinywa p.umbu kidogo atazinduka usingizini. Huwezi kumtukana Rais wa nchi kama unamtukana kibaka
 
Kwahiyo huo mswaada umepitishwa kuwa Sheria ya mtu akipatikana na kosa kutukana unamkata na Malinda?
kama unajua na unaheshimuu sheria kama unavyotamani watu waiheshimu kwako,usingeandika maneno yenye ukakasi au matusi kwa wengine,achilia mbali rais wa nchi.
 
Kwani kakosea nini?
Katukana?
Katishia maisha?

Kama hajavunja sheria kwenye kauli yake basi mumuache!

Tatizo mnadhani eti kwa sababu kaachiwa basi awe ndondocha lisilo na msimamo wa kisiasa

Kama nyie mna nidhamu za woga kaeni na woga wenu
Waacheni wanaoweza kupigania Tanzania njema, wapiganie Tanzania njema.

Magufuli kawaweka ndani akina Sugu, Lema, Mbowe, Msigwa, Mdee, sasa kumuweka ndani Mdude siyo habari
 
Mimi ni chadema ila huyu mdude hii style yake itamletea shida zaid, nimestaajabu eti wanamchangia pesa, bora wangepeleka kwa yatima wakavuna thawabu
 
Ccm ni wajinga sugu,Rais wa Ufaransa Emmanue juzi juzi kapigwa kofi usoni na raia wa kawaida lakini wananchi walio hojiwa wakasema,kijana yule ameonesha ni jinsi gani hakubaliani na utawala wa Macro.Ingelikuwa hapa tz kijana yule angeliuawa palepale.Ndiyomaana tunahitaji katiba mpya ili kuondokana na rais Mungu asiye kosolewa
 
Ni jambo lililo wazi ya kuwa watu wengi walikuwa wanamhurumia Mdude kwa mateso aliyopitia.

Inawezekana kuwa maneno na kauli zake zilikuwa za kukera lakini kwa mateso aliyopitia kama ndio ya adhabu ya kukera wakubwa ilikuwa ya kupitiliza.

Chadema Chama Kikubwa cha siasa kimeshindwa kuelewa kuwa Mdude anahitaji ushauri wa kisaikolojia ili arudi katika hali ya kawaida ikiwa pamoja na kumuelimisha kuhusu mabadiliko yaliyotokea katika kipindi kifupi na muelekeo wa Chama.

Kumpandisha Mdude katika hadhara kubwa kama ile kwa vyovyote kunakaribisha kuteleza ulimi ambako kunaweza kuweka pengo katika mikakati iliyowekwa.

Mdude afanyiwe orientation upya na pamoja na ushindi ajaribu kuangalia ni wapi alijikwaa.
 
Yaani waliomkamata na jaji aliyemuachia sasa hivi wako wanaangaliana usoni[emoji16][emoji16]

Kwamba unaona sasa jamaa yako?
Hahahhaha.

Wanaangaliana wanasema "dogo hana fadhila huyu hajui kama tumemuonea huruma tuu"
 
Back
Top Bottom