kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Asee si mtu wa kuonewa huruma huyu hata kidogo.
Yaani mtu aliyelegeza mkono wake ili uwe huru na akiwa yeye ndiye Rais unawezaje kutumia lugha zisizo na adabu kiasi hicho?

Akipelekwa mahakamani msilalamike kuwa anaonewa