Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Hako kamdude kakifinywa tena kataanza kulia lia, kama kalivyolia kabla. Kanafikiri hatukukaona?
 
the guy has nothing to lose what he's been through made him spoke like that
 
Wala huwezi kumchonganisha mama na watanzania. Mdude ni tone dogo katika bahari. Mwendazake na udikteta wake uliumiza wananchi wengi. Ni dhahiri sasa kuwa hata mama alikuwa hafurahii hali hiyo. Tumeumizwa wengi aidha moja kwa moja au kupitia kwa ndugu zetu. Ndio maana bila kujali chama au dini sote tunahitaji Katiba mpya itayorekebisha jambo hili lisitokee tena.

Kaka yangu ni mhandisi wa kujitegemea. Siku moja akapigiwa simu na watu wa Task force aende ofisi za TRA. Alipofika akaambiwa apeleke risiti zote za manunuzi za mwaka mzima. Akapeleka. Wakamwambia kuna risiti moja hajapeleka hivyo wamempiga faini ya shilingi milioni mia moja na ishirini na wameshakata fedha kutoka kwenye akaunti yake ya benki. Aawauliza kuwa ni risiti gani kutoka duka gani na ya tarehe gani? walichojibu ni kuwa ni maelekezo na anaweza kushitaki akitaka. Kaka yangu ni mwanaccm na kuanzia hapo hataki hata kusikia jina hilo tena!
Acha wewe. Wengine tuna machungu na system ya serikali hii. Tunataka katiba mpya kurekebisha hayo.
 
Kitaalamu Mdude Nyagali yuko traumatized kwa sababu ameondoka kwenye kundi la wahalufu wenziwe juzi kwa hiyo akili yake imeyumba iko kihalifu zaidi hajaanza bado kuwaza vyema kama binadamu wa kawaida.

Ili kurudi kwenye hali yake ya kawaida alitakiwa atulie kwa mwaka mmoja ili azoee mazingira ya kawaida ya ubinadamu.

Sasa ninachojiuliza CHADEMA hawana daktari anbaye angewashauri kuhusu hali hiyo? si vizuri kwa Mbowe kuwatumia watoto wa watu kwa kutumia umasikini wao kwa masilahi yako binafsi.
 
Mdude Hasemi kua alionewa na Hayat ila anasema alimnyoa kwa madaha Sasa mnasemaje Hayat alikua mtesi wake
 
Acha umama kumtisha mama
 
Hao hakuna umakini rais anahitaji kua nao. Ni kuwatupa lupango tu wakivunja sheria. Nchi ina sheria kuzuia kutukana kukejeli na lugha isiyofaa dhidi ya rais wa jamhuri. Watupe tu lupango wakajibu kesi. Mama adiogope wakikuita dikteta maana hata ukijipendekeza watakuita tu.
 
Kwa maoni yako umemuona Rais kama mwanamke na siyo kama Rais
 
Sawa. Lkn mwambieni mama ajiandaye kunyolewa na kiwembe alichotumia Mdude kumyoa Magufuli. Msisahau.
 
Kwa maoni yako umemuona Rais kama mwanamke na siyo kama Rais
Una mashaka yoyote na hilo? Ama awe mwanamke au mwanaume. Kama unaweza tenganisha hilo na uraisi wake basi ukatae jina lake pia la SAMIA, ni unisex hilo jina?

Raisi ni nani? Ukijibu ni taasisi utakuwa hujaelewa swali!

Raisi ni nini? Tasisi, na hapo utakuwa umepata.
 
Umeandika kishambenga.
 
akina veronica wangemuuliza mdude wembe gani aliutumia kwa hayati?
 
Watu design ya tundu na mdude itakuwa wanapiga Cha Arusha si watumie siasa za kistaarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…