Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Hako kamdude kakifinywa tena kataanza kulia lia, kama kalivyolia kabla. Kanafikiri hatukukaona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki ya kudai mikutano ya adhara wameshindwa wanadai Katiba mpya wakat hii tu Kuna mambo yamewashindaMdude,Lissu hawatafuti fadhila,wanataka haki
Wala huwezi kumchonganisha mama na watanzania. Mdude ni tone dogo katika bahari. Mwendazake na udikteta wake uliumiza wananchi wengi. Ni dhahiri sasa kuwa hata mama alikuwa hafurahii hali hiyo. Tumeumizwa wengi aidha moja kwa moja au kupitia kwa ndugu zetu. Ndio maana bila kujali chama au dini sote tunahitaji Katiba mpya itayorekebisha jambo hili lisitokee tena.Habar wadau wa jamiforums
Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo
Rais Samia ulimuachia Mdude kwa Mapenzi yako kama mama mwenye upendo na si kwa sababu Mdude hakua na Hatia. Ila huruma yako Mama kwanza ilimchafua Hayat na kuonekana alikua Katil na kesi ya mdude hakustail kuwa nayo
Leo Nadhan utakua Umeona Vidio ya Mdude na Tundulisu ilio sambaa mitandao uku Mdude chadema akikuahid kua kama utaendelea ivi Atakunyoa kwa wembe ule ule alio Mnyolea Mtanguliz wako. Je Ni wembe Gani uo na vip kwa Mdude kukiri kua Kuna wembe alio Mnyolea Hayat hii haiweki Taswira wazi kua Mdude alistail kufanyiwa alio fanyiwa?
Rais Samia Leo Tundulisu anakubatiza Jina ambalo sio lako anaamua kukuita Magufuli Mwanamke How Rais wa nch na Rais alie kua Madarakan wanakashifiwa kiasi ichi
Mama nakuambia Aya kwa kua nakupenda soon utaanza kuonekana dikteta kwenye Macho yao utaanza kuitwa muuaji kwa kukubambikizia misiba isiyo kuhusu watatumia kila mbinu kukuchafua Mama kua nao Makin
Mdude Hasemi kua alionewa na Hayat ila anasema alimnyoa kwa madaha Sasa mnasemaje Hayat alikua mtesi wakeWala huwezi kumchonganisha mama na watanzania. Mdude ni tone dogo katika bahari. Mwendazake na udikteta wake uliumiza wananchi wengi. Ni dhahiri sasa kuwa hata mama alikuwa hafurahii hali hiyo. Tumeumizwa wengi aidha moja kwa moja au kupitia kwa ndugu zetu. Ndio maana bila kujali chama au dini sote tunahitaji Katiba mpya itayorekebisha jambo hili lisitokee tena.
Kaka yangu ni mhandisi wa kujitegemea. Siku moja akapigiwa simu na watu wa Task force aende ofisi za TRA. Alipofika akaambiwa apeleke risiti zote za manunuzi za mwaka mzima. Akapeleka. Wakamwambia kuna risiti moja hajapeleka hivyo wamempiga faini ya shilingi milioni mia moja na ishirini na wameshakata fedha kutoka kwenye akaunti yake ya benki. Aawauliza kuwa ni risiti gani kutoka duka gani na ya tarehe gani? walichojibu ni kuwa ni maelekezo na anaweza kushitaki akitaka. Kaka yangu ni mwanaccm na kuanzia hapo hataki hata kusikia jina hilo tena!
Acha wewe. Wengine tuna machungu na system ya serikali hii. Tunataka katiba mpya kurekebisha hayo.
Acha umama kumtisha mamaHabar wadau wa jamiforums
Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo
Rais Samia ulimuachia Mdude kwa Mapenzi yako kama mama mwenye upendo na si kwa sababu Mdude hakua na Hatia. Ila huruma yako Mama kwanza ilimchafua Hayat na kuonekana alikua Katil na kesi ya mdude hakustail kuwa nayo
Leo Nadhan utakua Umeona Vidio ya Mdude na Tundulisu ilio sambaa mitandao uku Mdude chadema akikuahid kua kama utaendelea ivi Atakunyoa kwa wembe ule ule alio Mnyolea Mtanguliz wako. Je Ni wembe Gani uo na vip kwa Mdude kukiri kua Kuna wembe alio Mnyolea Hayat hii haiweki Taswira wazi kua Mdude alistail kufanyiwa alio fanyiwa?
Rais Samia Leo Tundulisu anakubatiza Jina ambalo sio lako anaamua kukuita Magufuli Mwanamke How Rais wa nch na Rais alie kua Madarakan wanakashifiwa kiasi ichi
Mama nakuambia Aya kwa kua nakupenda soon utaanza kuonekana dikteta kwenye Macho yao utaanza kuitwa muuaji kwa kukubambikizia misiba isiyo kuhusu watatumia kila mbinu kukuchafua Mama kua nao Makin
Hao hakuna umakini rais anahitaji kua nao. Ni kuwatupa lupango tu wakivunja sheria. Nchi ina sheria kuzuia kutukana kukejeli na lugha isiyofaa dhidi ya rais wa jamhuri. Watupe tu lupango wakajibu kesi. Mama adiogope wakikuita dikteta maana hata ukijipendekeza watakuita tu.Habar wadau wa jamiforums
Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo
Rais Samia ulimuachia Mdude kwa Mapenzi yako kama mama mwenye upendo na si kwa sababu Mdude hakua na Hatia. Ila huruma yako Mama kwanza ilimchafua Hayat na kuonekana alikua Katil na kesi ya mdude hakustail kuwa nayo
Leo Nadhan utakua Umeona Vidio ya Mdude na Tundulisu ilio sambaa mitandao uku Mdude chadema akikuahid kua kama utaendelea ivi Atakunyoa kwa wembe ule ule alio Mnyolea Mtanguliz wako. Je Ni wembe Gani uo na vip kwa Mdude kukiri kua Kuna wembe alio Mnyolea Hayat hii haiweki Taswira wazi kua Mdude alistail kufanyiwa alio fanyiwa?
Rais Samia Leo Tundulisu anakubatiza Jina ambalo sio lako anaamua kukuita Magufuli Mwanamke How Rais wa nch na Rais alie kua Madarakan wanakashifiwa kiasi ichi
Mama nakuambia Aya kwa kua nakupenda soon utaanza kuonekana dikteta kwenye Macho yao utaanza kuitwa muuaji kwa kukubambikizia misiba isiyo kuhusu watatumia kila mbinu kukuchafua Mama kua nao Makin
Kwa maoni yako umemuona Rais kama mwanamke na siyo kama RaisKimsingi mbinu anayotumia, si nzuri sana kwake. Haikuwa mbaya sana kwa enzi za mshauri wake kwakuwa ni ngumu sana kumdhalilisha baba kuliko mama.
Bila kujali maoni ya kisiasa au kiitikadi, mwanamke apewe tu heshima anayostahili, zaidi mwanamke huyu akiwa mama, basi adabu itamalaki kila pande, kwake na kwa wengine; mwanamke ambaye ni mama, kisha raisi wa nchi, pengine inabidi aheshimiwe, adabu iwepo na kidogo aogopwe.
Lisu na wafananao, nadhani wanasahau hili.
Una mashaka yoyote na hilo? Ama awe mwanamke au mwanaume. Kama unaweza tenganisha hilo na uraisi wake basi ukatae jina lake pia la SAMIA, ni unisex hilo jina?Kwa maoni yako umemuona Rais kama mwanamke na siyo kama Rais
Umeandika kishambenga.Habar wadau wa jamiforums
Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo
Rais Samia ulimuachia Mdude kwa Mapenzi yako kama mama mwenye upendo na si kwa sababu Mdude hakua na Hatia. Ila huruma yako Mama kwanza ilimchafua Hayat na kuonekana alikua Katil na kesi ya mdude hakustail kuwa nayo
Leo Nadhan utakua Umeona Vidio ya Mdude na Tundulisu ilio sambaa mitandao uku Mdude chadema akikuahid kua kama utaendelea ivi Atakunyoa kwa wembe ule ule alio Mnyolea Mtanguliz wako. Je Ni wembe Gani uo na vip kwa Mdude kukiri kua Kuna wembe alio Mnyolea Hayat hii haiweki Taswira wazi kua Mdude alistail kufanyiwa alio fanyiwa?
Rais Samia Leo Tundulisu anakubatiza Jina ambalo sio lako anaamua kukuita Magufuli Mwanamke How Rais wa nch na Rais alie kua Madarakan wanakashifiwa kiasi ichi
Mama nakuambia Aya kwa kua nakupenda soon utaanza kuonekana dikteta kwenye Macho yao utaanza kuitwa muuaji kwa kukubambikizia misiba isiyo kuhusu watatumia kila mbinu kukuchafua Mama kua nao Makin
Nyote mnajua janaa yenu kapuyanga ila mnakaza fuvu tuUmeandika kishambenga.