Arturo mateo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 636
- 1,076
Umeshalewa,hivi bia zimeshashuka bei?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni aibu na kero kuyarudia ...go google
Google my foot?ni aibu na kero kuyarudia ...go google
Wenzako akina Mbowe ndio kwanza wanafurahia na kugonga bilauri.Nimelia vibaya mno
Mama kwa busara zake mdude alitoka...
AiseeHabar wadau wa jamiforums
Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo...
Mkimpeleka mahakamani anawashinda asubuhi tu.Habar wadau wa jamiforums
Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo...
..ccm hao wameona hoja ya katiba, haki, na demokrasia, hawana uwezo nayo, hivyo wanataka wamchochee Raisi atumie vyombo vya dola kuwanyamazisha chadema.