Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Hapana jamani hii ni too much Jamani jeshi la polisi,jeshi la polisi,jeshi la polisi nimewaita mara tatu

Nawaombeni huyu mtu aitwaye Mdude nyangali chadema akamatwe maana video akimtukana na kumdhalilisha raisi wa JMT mmeziona.

Sasa mnasubiri nini kumkamata?Mkamateni mumuweke ndani kisha mumpandishe kizimbani sheria ifuate mkondo hatuwezi kuwa na wanaharakati wahuni na wenye bullying namna hii na wanaotoa vitisho kwa rais wa nchi
 
Zipo kauli kadhaa za dhihaka na vitisho kutoka kwa Mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa Chadema zilizofuatiwa na matusi na dhihaka kwa Rais Samia zilizotolewa na Mdude.

Hadi sasa hakuna mwanachadema mwandamizi aliyeomba radhi ,hii inaashiria wazi kuwa matusi hayo yalipangwa rasmi na chama.
Bila shaka ni muhimu kwa viongozi hao pamoja na mdude kuitwa na kuisaidia polisi.

Demokrasia ifuatwe.

HONGERA DAR YOUNG AFRICANS

KWA HISANI YA #YANGAYOSSO
 
Habar wadau wa jamiforums

Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo...
Mkimpeleka mahakamani anawashinda asubuhi tu.

Mdude hajataja samia wala suluhu, hakuna sehemu kataja rais,

Kasema mama yenu, ntammyoa.. Kasema wembe.. Kasema mtangulizi wake..

Kisheria kosa liko wapi?
Acheni mihemko
 
Magufuli alitaka kumuadabisha Mdude kwa kumfunga...hatoamini macho yake anaweza kuona utawala huu mwepesi lkn ndo utakaomuua kabisa na huo wembe wake wakakatane na wafu wenzake huko kaburini...
 
Mjinga anapokuwa mjinga halafu akaandika ujinga kuusoma ni ujinga. Bora kumjibu ujinga ili ujinga umzidi.
 
Back
Top Bottom