Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Tatizo watanzania wengi hawaijui siasa,wanadhani siasa ni mapambio sijui mnataka Chama cha upinzani nacho kimsifie Mama kama CCM.
Tafuteni documentaries za Nchi zingine muelewe maana ya siasa.
Ndio Kamanda, makamanda tunataka siasa kama za Afghanistan, Chechnya, nk dadeki..
Mdude ni Mandela aliyetufufukia Tanzania..you know why...
Mzuka unapanda makamanda
 
Utakuwa wa uswahilini wewe kwa uchonganishi. Utakuwa bonge la mbea. Magufuli mwanamke = Tofauti yake na Joseph Magufuli ni kwenye me/ke tu. Matendo yake ni sawa na ya Magufuli tu.
Rais Samia Leo Tundulisu anakubatiza Jina ambalo sio lako anaamua kukuita Magufuli Mwanamke How Rais wa nch na Rais alie kua Madarakan wanakashifiwa kiasi ichi
 
Kimsingi mbinu anayotumia, si nzuri sana kwake. Haikuwa mbaya sana kwa enzi za mshauri wake kwakuwa ni ngumu sana kumdhalilisha baba kuliko mama.

Bila kujali maoni ya kisiasa au kiitikadi, mwanamke apewe tu heshima anayostahili, zaidi mwanamke huyu akiwa mama, basi adabu itamalaki kila pande, kwake na kwa wengine; mwanamke ambaye ni mama, kisha raisi wa nchi, pengine inabidi aheshimiwe, adabu iwepo na kidogo aogopwe.

Lisu na wafananao, nadhani wanasahau hili.
Lisu hakomi huyu. Kumshambulia Rais kutamshushia credibility
 
Una mashaka yoyote na hilo? Ama awe mwanamke au mwanaume. Kama unaweza tenganisha hilo na uraisi wake basi ukatae jina lake pia la SAMIA, ni unisex hilo jina?

Raisi ni nani? Ukijibu ni taasisi utakuwa hujaelewa swali!

Raisi ni nini? Tasisi, na hapo utakuwa umepata.
Kwa maoni yako basi yupo hapo kwa bahati mbaya. Alafu usipende kumchukulia mwanamke kuwa hawezi na niwa kuonewa huruma tu. Huyo yupo hapo na anajitosheleza acha mfumo dume.
 
Kimsingi mbinu anayotumia, si nzuri sana kwake. Haikuwa mbaya sana kwa enzi za mshauri wake kwakuwa ni ngumu sana kumdhalilisha baba kuliko mama.

Bila kujali maoni ya kisiasa au kiitikadi, mwanamke apewe tu heshima anayostahili, zaidi mwanamke huyu akiwa mama, basi adabu itamalaki kila pande, kwake na kwa wengine; mwanamke ambaye ni mama, kisha raisi wa nchi, pengine inabidi aheshimiwe, adabu iwepo na kidogo aogopwe.

Lisu na wafananao, nadhani wanasahau hili.
Mshauri mheshimiwa SSH,Kama unaweza kushauri. Mnajadili mada kwa pupa tu.
 
"...mwambieni huyo mama yenu, wembe niliotumia kumnyoa mtangulizi wake, nitamnyolea yeye akiendelea kuleta jeuri"

MDUDE NYAGALI,
Kada wa Chadema.
1 July 2021.
 
Kwa maoni yako basi yupo hapo kwa bahati mbaya. Alafu usipende kumchukulia mwanamke kuwa hawezi na niwa kuonewa huruma tu. Huyo yupo hapo na anajitosheleza acha mfumo dume.
Anajitosheleza kutukanwa? Mfumo dume umesema? Hapa unapotosha au umepotoshwa, mfumo dume ni nini haswa?

Mbona miaka 5 iliyopita hatukusikia hizi critics?
 
Habar wadau wa jamiforums

Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo

Rais Samia ulimuachia Mdude kwa Mapenzi yako kama mama mwenye upendo na si kwa sababu Mdude hakua na Hatia. Ila huruma yako Mama kwanza ilimchafua Hayat na kuonekana alikua Katil na kesi ya mdude hakustail kuwa nayo

Leo Nadhan utakua Umeona Vidio ya Mdude na Tundulisu ilio sambaa mitandao uku Mdude chadema akikuahid kua kama utaendelea ivi Atakunyoa kwa wembe ule ule alio Mnyolea Mtanguliz wako. Je Ni wembe Gani uo na vip kwa Mdude kukiri kua Kuna wembe alio Mnyolea Hayat hii haiweki Taswira wazi kua Mdude alistail kufanyiwa alio fanyiwa?

Rais Samia Leo Tundulisu anakubatiza Jina ambalo sio lako anaamua kukuita Magufuli Mwanamke How Rais wa nch na Rais alie kua Madarakan wanakashifiwa kiasi ichi

Mama nakuambia Aya kwa kua nakupenda soon utaanza kuonekana dikteta kwenye Macho yao utaanza kuitwa muuaji kwa kukubambikizia misiba isiyo kuhusu watatumia kila mbinu kukuchafua Mama kua nao Makin
Mama Samia ameweka kando uhalisia na sasa anajaribu kudeal na hisia.

Hajawajua Chadema kwamba ni zaidi ya Chama cha Siasa.

wana stress za kufa mtu hivyo wanafanya lolote bila kujali madhara
 
Mdude ni sikio la kufa. Anajifanya ni mwanaharakati uchwara ili aweze kupata michango ya makamanda wasioelewa hatari inayokuja mbele yake. Huyu mpaka sasa hajajua na wala hajui kama yeye pamoja na viongozi wake wameshika makali wakati raisi Samia ameshika mpini. Kwa sasa acha aendelee kujidanganya mwenyew kuwa ana nguvu na uwezo wa kufanya kile anachopanga kufanya, lkn revenge yake itakuja kuwa mbaya kwake na familia yake. Hakuna aliepambana na serikali au raisi akafanikiwa.
Hakana adabu haka kajitu
 
Habar wadau wa jamiforums

Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo

Rais Samia ulimuachia Mdude kwa Mapenzi yako kama mama mwenye upendo na si kwa sababu Mdude hakua na Hatia. Ila huruma yako Mama kwanza ilimchafua Hayat na kuonekana alikua Katil na kesi ya mdude hakustail kuwa nayo

Leo Nadhan utakua Umeona Vidio ya Mdude na Tundulisu ilio sambaa mitandao uku Mdude chadema akikuahid kua kama utaendelea ivi Atakunyoa kwa wembe ule ule alio Mnyolea Mtanguliz wako. Je Ni wembe Gani uo na vip kwa Mdude kukiri kua Kuna wembe alio Mnyolea Hayat hii haiweki Taswira wazi kua Mdude alistail kufanyiwa alio fanyiwa?

Rais Samia Leo Tundulisu anakubatiza Jina ambalo sio lako anaamua kukuita Magufuli Mwanamke How Rais wa nch na Rais alie kua Madarakan wanakashifiwa kiasi ichi

Mama nakuambia Aya kwa kua nakupenda soon utaanza kuonekana dikteta kwenye Macho yao utaanza kuitwa muuaji kwa kukubambikizia misiba isiyo kuhusu watatumia kila mbinu kukuchafua Mama kua nao Makin
Acheni ujinga...
Japo siungi mkono lakinil alichofanya Mdude ni nusu ya walichowahi kufanya viongozi kadhaa wa ccm kina Sabaya, Heri, Mwigulu, Hepi, Makonda, Magu, na wengine wengi tu. Hata humu jukwaani tua watu kina Jingalao, johnthebaptist n.k ambao wao mkitofautiana mawazo wanahalalosha matusi na bifu!
Tuache unafiki. Kama upinzani ukitumia lugha ngumu ni dhambi kubwa basi iwe hivyo kwa maccm.
Lakini ili haya yadhibitiwe tunahitaji Katiba Mpya iweje kabisa utaratibu wa kuzuia "Hate-Speech". Tusipofanya hivyo tunakoroga sumu moja mbaya sana!
 
Habar wadau wa jamiforums

Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo

Rais Samia ulimuachia Mdude kwa Mapenzi yako kama mama mwenye upendo na si kwa sababu Mdude hakua na Hatia. Ila huruma yako Mama kwanza ilimchafua Hayat na kuonekana alikua Katil na kesi ya mdude hakustail kuwa nayo

Leo Nadhan utakua Umeona Vidio ya Mdude na Tundulisu ilio sambaa mitandao uku Mdude chadema akikuahid kua kama utaendelea ivi Atakunyoa kwa wembe ule ule alio Mnyolea Mtanguliz wako. Je Ni wembe Gani uo na vip kwa Mdude kukiri kua Kuna wembe alio Mnyolea Hayat hii haiweki Taswira wazi kua Mdude alistail kufanyiwa alio fanyiwa?

Rais Samia Leo Tundulisu anakubatiza Jina ambalo sio lako anaamua kukuita Magufuli Mwanamke How Rais wa nch na Rais alie kua Madarakan wanakashifiwa kiasi ichi

Mama nakuambia Aya kwa kua nakupenda soon utaanza kuonekana dikteta kwenye Macho yao utaanza kuitwa muuaji kwa kukubambikizia misiba isiyo kuhusu watatumia kila mbinu kukuchafua Mama kua nao Makin
Wana Siasa za Maji Taka sana hawa!
 
Habar wadau wa jamiforums

Nilikua nimesema nisijiusishe Tena na siasa ila kwenye ili nimeona ninayo haki ya kusema jambo...
Mdude aliishinda serikali ya ccm mahakamani , hakutolewa kwa huruma ya mtu , sasa tunapojenga hoja tujikite kwenye mambo yahusuyo
 
Nimelia vibaya mno

Mama kwa busara zake mdude alitoka

Mama kwa busara zake kairudisha nchi kwenye demokrasia

Mama kwa busara zake watumishi wa umma wameanza kuwa na matumaini

Mama kwa busara zake pesa imeanza kuonekana mtaani wananchi tunafurahia

Leo hii anaibukia mpuuzi mmoja, mkosa adabu mmoja,asiyefunzwa na mama yake wala ulimwengu aitwaye mdude nyangali anamtukana rais na lugha chafu ya kejeli kumbully rais kwa lugha ya matusi yaani nimeliaahhh.

Nimepandwa na jazba usiku huu nimejuta kwanini nimeiona hiyo video nimelia sana kwasababu huyu mama hastahili kutukanwa nimesikia hadi uchungu kwamba ndo mama yangu anatukanwa hivyo yaani ningekufa maana hata ningekosa cha kufanya maana mtoa matusi angestahili zaidi ya adhabu yoyote kali.

Huyu mdude kanifanya niichukie chadema sana,hiyo ndo shukrani yako mdude hii clip imeharibu siku yangu, nimelia sana kwa uanaharakati gani kama ndo hivi?Kwanini utukane na lugha kama hii?

Nimelia sana na sitosahau hili
 
Back
Top Bottom