Mdude Nyagali: Wamasai wanafukuzwa Ngorongoro baada ya ‘Vasco Da Gama’ kuwauzia Wajomba zake waarabu eneo lao

Yaan huyo naona sasa ameamua na anatembea na slogan ya kuzaliwa ni mara moja na kufa ni mara moja hivyo hana cha kupoteza hata wakimuua wauwaji wake watamfusta tu huko waliko mtanguliza yeye kila mmoja kwa wakati wake
Kwa hii serikali dhalimu ni hatari sn
 
CCM ni chama cha kishetani haswa
 
Fatuma atuambie sasa ni nini hasa kinatokea Ngorongoro.
Siasa ikiwekwa pembeni- watu na wanyama kwa style ya Ngorongoro hawawezi ku co exist na kuweza kuwa wote salama. Something will have to give.
  • Wanyama wakibanwa na mifugo eco system inakuwa challenged na uwindani haramu unaongezeka, magonjwa ya mifugo yanawaingilia wanyama pori, pia mioto ya asili ya pori inabdilika maana mifugo inaweza pia introduce mimea ya kwinginepo inapotoka kupitia kinyesi.
  • ⁠kwa upande wa binadamu, ni ngumu sana kupeleka huduma za kijamii kwa makundi yanayoishi kwa kuwa scattered tena kwenye maeneo yenye hatari. Hivyo it’s hard to have your cake and eat it too. Maendeleo ya service za jamii ili wayapate hiyo namna wanavyoishi inabidi ibadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…