Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Saa 100 anachuki na wakristo
 
Mdude anaitwa somebody Said
 
Mpuuzi kweli. Msema hovyo ni yule anayetoa majibu ya kijinga kwenye maswali ya msingi anayoulizwa.
Fatilia kesi za uhaini Tanzania, walishwahi kupelekwa watu visiwani. nnayokwambia siyakisii.

Tuchunge sana kauli zetu, sote tunajitakia mema na tunaitakia mema Tanzania.
 
Sasa si ndo CCM mfurahi sasa[emoji16]

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Dikteta samia hana maisha pale ikulu.

Achana na hayo. Ahsanteni kwa bandari
 
Hivi dada na we mgao ulikufikia maana swala la bandari likizungumzwa unachizika kabisa.
 
Mkuu hii siyo banana Republic, ni nchi yenye vyombo vyake vya dola. Kabla hujafanya unachotaka kufanya utakuwa umedakwa.
EeeeenHeeeeee!
Imenibidi nicheke kwanza.

Hivi unaelewa maana ya "Banana Republic" ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…