Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ni jambo la kushangaza sana hiliwe hujui rais akiwa muislam wakristo wanavyosumbuaga? wadini sana hao wajamaa, mi mkristo lakini sipendi maubaguzi ya kijinga. Mbona wenzetu rais akiwa mkristo hawasumbui, hawafanyi vioja? Wakati wa Magufuli ni muislam gani alikuwa anaeneza maujinga km hao wajamaa. Kwanza ni wanafki hata huo ukristo wenyewe ni wa maslahi tu, wengi wao ni washirikina tu wala hawamtegemei wala kumcha Mungu. Issue ya bandari inaiumiza sana kichwa kanisa wamezoea magendo, huwa hawalipiagi bandarini. Ni wezi wa kodi za serikali, Mama Samia kazi iendee hao ni majambazi tu tumeshayatambua. Wamejaa ubaguzi, chuki, uzushi, uwongo, upotoshaji, uchochezi na uhaini. Washughulikiwe ipasavyo hakuna ukristo hapo.
Halafu tukirudisha mabomu wanatuona wabaya na kutuita kila majina
Washari sana ila tunaenda nao hivyo hivyo, kuna watu dini ni pa kujifichia tu na maslahi ya bandari na magari na mali zao walizokuwa wanapitisha zitakufa wasisingizie uislam bali mirija imefungwa