Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

we hujui rais akiwa muislam wakristo wanavyosumbuaga? wadini sana hao wajamaa, mi mkristo lakini sipendi maubaguzi ya kijinga. Mbona wenzetu rais akiwa mkristo hawasumbui, hawafanyi vioja? Wakati wa Magufuli ni muislam gani alikuwa anaeneza maujinga km hao wajamaa. Kwanza ni wanafki hata huo ukristo wenyewe ni wa maslahi tu, wengi wao ni washirikina tu wala hawamtegemei wala kumcha Mungu. Issue ya bandari inaiumiza sana kichwa kanisa wamezoea magendo, huwa hawalipiagi bandarini. Ni wezi wa kodi za serikali, Mama Samia kazi iendee hao ni majambazi tu tumeshayatambua. Wamejaa ubaguzi, chuki, uzushi, uwongo, upotoshaji, uchochezi na uhaini. Washughulikiwe ipasavyo hakuna ukristo hapo.
Ni jambo la kushangaza sana hili
Halafu tukirudisha mabomu wanatuona wabaya na kutuita kila majina

Washari sana ila tunaenda nao hivyo hivyo, kuna watu dini ni pa kujifichia tu na maslahi ya bandari na magari na mali zao walizokuwa wanapitisha zitakufa wasisingizie uislam bali mirija imefungwa
 
M
wamekamatwa wakristo wote? Kwanini siyo
kardinaal Pengo
Au Alex Malasusa, Lissu au Mbowe ?

Wanakamatwa ambao wanatimiza wajibu wao kwa njia Hiyo

Niambie ni dini au muislamu gani kafanya alichofanya mdude?

Na kwanini wamkamate Islamic ambaye hajatuhumiwa eti kisa ku balance?
Mimi Mkristo ninadunda wala sijakamatwa.

Mleta mada ana nia yake nayo ni kueneza udini ila amefeli kabla hajaanza
 
Nawaasa wasema hovyo, msidhani wala msifikiri kuwa jela hazitoshi.

Uingereza walipokuwa wanaiweka nchi yao sawa, jela zilipokuwa hazitoshi, walienda wakawabwaga wafungwa Australia, wakawaambia, haya anzisheni makazi hapa, wakapewa na ngamia kama usafiri wao.

Tanzania visiwa vingi sana, Kumbukeni hilo.
Na Leo Australia ni nchi nzuri sana ya kuishi
 
Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Nafikiri ulipata hesabu sifuri
Yaani hata kwa akili ya kawaida, watu waliokamatwa hata hawafiki 0.05 ya watanzania tayari unaleta udini?
 
Tutafika panapo
Ni swala la muda
Polisi na serikali watajua hawajui
Hii ni abuse of power
Rushwa ni adui Mkubwa
 
mkuu kunywa maji ya baridi hua yanasaidia kuondoa ujinga
 
Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu

Moderators please fungieni upuuzi huu wa kidini, mbna mwendazake kaharibu kila kona kwa udini lakn watu tumekausha? Mbna mpka ss hv ajira zote za utumishi asilimia 95% ni wakristo esp kwenye mataasisi na watu tumekaa kimya????
 
Nilijua mapema tu kuwa nia yenu si kupinga bandari kama bandari bali mna lenu tu, nalo ni chuki dhidi ya dini ya anayeongoza nchi sasa! Taratiiibu unafiki unakaa pembeni, ukweli unajidhihirisha.

Exactly bro, hili la bandari ni danganya toto, the real deal behind this ni samia kua muislam na chuki dhidi ya uislam kushnei [emoji298]️
 
Nchi hii wenye akili ni wakristo na ndiyo wanaonekana tishio kwa serikali. Sasa waislam kwa ukilaza wao watakamatwa kwa lipi wakati hata mkataba wanashindwa kuchambua?
Uko sahihi mkuu, waislamu wanamwamini allah asiye na akili hata za kujitetea, kwahiyo wanamtetea wao, wanamwamini tapeli muhammad aliyekuwa mbumbumbu kupita maelezo.
 
Majina ya wanaokamatwa na jeshi la polisi kwa ukosoaji wa mkataba wa bandari kwanini kalibia yote ni ya wakristo hasa wakatoliki? Na hasa ukizingatia Raisi wa Nchi ni Muislamu
Ni wahaini, usipotoshe, hawakukamatwa kwa kupinga bandari, wamekamatwa kwa uhaini, haijalishi ni mkiristo au mwislam ukiwa mhaini utashughulikiwa tu, na ndio maana kikwete muislam ila aliwakamata mashehe kwa uhaini mpaka ilivyothibitika vingine, na hawa ni wahaini na watashtakiwa na ikithibitika watanyongwa na ikithibitika vingine wataachwa huru
Mhaini ni kumhaini tu
 
mkuu kunywa maji ya baridi hua yanasaidia kuondoa ujinga
 
Back
Top Bottom