Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Mechi tamu Yanga 1 - 0 Simba CCM Kirumba goli Kali la Feisal linawauma Mikia hadi Leo! Hakuna mchezaji wa Simba anaweza kufunga vile!
Mechi ingine Kali Yanga 1 - 0 Simba goli la Zawadi Mauya dkk 12 hadi mpira unaisha Simba walipiga mashuti 100 na wakatoka kapa. Goli moja linauma mno!
Mechi ingine Yanga 1 - 0 Simba goli Kali la Faulo Benard Morisson Manula akamsifia mfungaji wakasema kahongwa.
Mechi ingine Kali Yanga 2 - 1 goli moja Kali la Fiston Mayele walisema Hana uwezo wa kuifunga Simba eti Inonga anamuweza wapi Mayele ni world class player!
Mechi ingine Kali Jumapili! Ni zamu ya Musonda!! Maji Simba wataita mma!!
Mechi ya Yanga kufungwa goli 5 ilikuwa mwaka 2012 kulikuwa na mgogoro mkubwa Jangwani Yanga Kampuni vs Yanga Asili one day before kwenye taarifa ya habari ITV usiku Mzee Akilimali alizungumza akavua kofia akasema tutaona Kesho nani mkubwa hapa Yanga na kweli Yanga wakapigwa 5 bila na Simba, Simba wasijisifu Ile ilikuwa mechi ya mchongo hebu waifunge Tena Yanga goli 5 tuone!! Nawakumbusha tu wale mashabiki wapya wa Simba wasiojua historia ya ule ushindi wa Simba haitatokea Tena milele!