Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

Ukiondoa mizengwe ya refa, washika vibendera na makamushina wa mchezo, hata kabla ya mapumziko washindi mbona tayari watakuwa wamepatikana?
 
Halima atarudi kupitia viti maalum ambavyo tayari alishagombea na kupitishwa na chama chake. Alishajua kurudi kupitia ubunge wa majimbo kwake haitawezekana. Sugu, Lema, Heche na Msigwa ndiyo basi! Inatia huruma.
Watakosa miaka mitano tu ikiisha watarudi
 
ngoja nibet.

1. JOHN Heche win.

2. Tulia Akson win.

3. HAlima Mdee win.

4. Mrisho Gambo win.

...............................................


TUNDU LISU 11% vs MAGUFULI 89%

Sent from my head.
 
Nazipenda sana siasa za aina hii. Siyo kukamata mgombea siku ya kurejesha fomu eti anataka kutoa rushwa atangazwe mshindi huku kura hazijapigwa.
 
Tunamtaka Lissu.Lissu ni mtanzania mwenzetu na tunataka tumpigie kura.


Mie na familia yangu kura ni kwa Lissu.Watumishi wote kura ni kwa lissu
 
Kwa hali iliyopo na mambo yanayofanywa na wenye madaraka ni lazima ccm watakatishe majimbo yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…