Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

Kwa kawe nitashangaa watu wakimchagua Viti maaluum Gwaji.Huyu anatafutiwa nafasi ya Viti maalum ya the late Mama kisulisuli.
 
Vunjo?
 
Karata Joker ni ya CCM.
Kazi ya JPM ilishauzika na upinzani walishaonyesha rangi halisi, ushindi hapo ni CCM.
Labda kina Heche ndiyo watatoa upinzani, lakini Arusha ambako nakaa sasa hivi Lema kwa heri. Hii kauli mtaikumbuka.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hao wa CCM wote watapigwa mapema sana
We ngoja tu uone. Yaani kuna mtu atapigwa kata funua nyie ngojeni tu itakapofika saa nane ivi mtajionea wenyewe. Hizo mbwembwe za MATAGA zitaishia sakafuni subirini tu mtaona
 
Sugu akirudi naanzisha chama
Mdee mmh kuna tetesi wamemchoka
Lema Vs Gambo hiyo mechi ni balaa. Moja tayari amelambishwa joker

Heche vs Waitara. Afe kipa afe beki. Aisee sijui Waitara .
 
Umesahau nyingine ya Kigoma Mjini ya Zitto na yule wa CCM! Nadhani nayo kali au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…