Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

Habari zenu wandugu,

Napenda tu kuwashauri wanafamilia wa ndugu Gambo na wengine walio karibu nae kuwa, kutokana na kilichokea huko Arushwa leo hii, ndugu yetu huyu bila shaka mpaka sasa anaweza kuwa amevurugwa, na hivyo, kuna hatari akafanya yasiyotarajiwa mojawapo likiwa ni uwezekano kulala na viatu.

Pia, mjitahidi kumpigisha strory tofauti tofauti na yaliyotokea ikiwa ni pamoja na kwenda nae maeneo ya starehe angalau aweze kupunguza mawazo.

Najua yuko katika wakati mgumu sana hivyo msipuuze ushauri huu.

Ni ushauri kwani nia njema tu jamani.
 
Acha kumtisha huyu ndugu,anayo nafasi ya kupanbana na half take pia
 
Gambo arudi Ilala,siasa za Arusha haziwezi na hazijui.
CCM kwa mara nyingine mnarudia makosa ya miaka yote.Lema anashindia kura za wanaccm kwa kushindwa kuwapatia mgombea anayekidhi mahitaji ya wana Arusha.
Mnategemea kuiba kura,safari hii hamuwezi,raia wamepigika sana na serikali iliyoshindwa kuboresha maishaya wapiga kura.Watalinda kura zao.
 
Hivi yule mbunge wa shinyanga aliyekamatwa na bunduki na nyara za serikali kesi yake iliishia wapi? vilevile ndiomaana wananchi wanataka wabadiri serikali hawataki kuona wezi wanazurura mtaani, kama Lema ni mwizi basi wazembe ni serikali.
 
Gambo hawezi kushinda Arusha Mjini hata yeye anafahamu hilo, atakachojaribu kufanya ni kuiba kura kwa kumtumia RPC anaefahamiana nae, ila wananchi wa Arusha Mjini wakisimama imara kama kawaida yao Gambo hana chake.
 
Simba Ni timu yangu ila acheni kutumika na wanasiasa uchwara Kama akina manara. Toka lini Simba mkacheza mechi bila kiingilio! Acheni siasa mtatugawa mashabiki wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…