EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Ngoja tusubiri mkuuKwamba Raja ataenda kushinda goli tatu?
Na Kabylie atashinda away? Hizi timu zina mlima mkubwa sana wa kupanda. Game ya Wydad na Simba bado ipo 50 /50 yeyote anaweza fuzu.
Vilabu vikubwa vyenye hadhi Africa vimecheza siku ya leo michuano ya CAFCL.
FT:Kabyile 0-1 Esparance.
FT:Simba 1-0 Wydad AC.
Mechi zinazoendelea kuchezwa muda huu ni Al ahly Vs Raja Casablanca.
CR beoulzdad Vs Mamelody.
matokeo baada ya mechi zote kuchezwa[emoji116]
View attachment 2596960
Kuna mdau alileta takwimu humu.Kabla ya mechi ya juzi kuanzia 2019.simba ameshinda 2, yanga 2 sare 6.Ndio hyo hyo ligi hebu leta takwimu boss
Jamaa anapiga mpira si mchezoShalulile anachomekea muda wote kama Antonio Valencia
Yani hizi story za Yanga kumfunga Simba sijui zimetoka wapi..kibaya zaidi na watu wamezimeza...Kuna mdau alileta takwimu humu.Kabla ya mechi ya juzi kuanzia 2019.simba ameshinda 2, yanga 2 sare 6.
Hii inamaanisha baada ya ushindi wa juzi.,Simba kashinda mara 3, yanga mara 2 na sare sita(katika mechi 11)
Nakukubali mkuu.Adi apo tu ishaonesha nani anaenda nusu wote walioshinda amna ane weza kupindua meza
Inshallah πͺFainali Simba Vs Mamelod sound down π
Wanakutana nusu fainali endapo Simba akishinda na Mamelod akishinda.Fainali Simba Vs Mamelod sound down π
DuuhhhWanakutana nusu fainali endapo Simba akishinda na Mamelod akishinda.
Hawafiki fainali pamoja.
Ndo hivyo mkuu, simba akimtoa wydad, anakutana na mamelodi sundownDuuhhh
Fainali ya msimu ulio pita kapigwaAl ahly wa kwenye makundi syo wa finally Sasa hata hivyo kwa utabiri Wang mamelod sundowns anaweza akakutana na waydad Casablanca/Simba halaf Al ahly anakutana na esperance tuone Moto utakavyowaka wakutane finally ndo utajua
Mkuu acha kukaririFainali ya msimu ulio pita kapigwa
Haya mkuu kama yetu itakua tuu..Ndo hivyo mkuu, simba akimtoa wydad, anakutana na mamelodi sundown
[emoji23][emoji23]nmecheka kama chizi wanacheza vp fainali wakati wapo njia moja, na hio Sound down ni timu gani?Fainali Simba Vs Mamelod sound down π