Mechi kati ya TRA United na Simba SC yaahirishwa hadi wakati mwingine kutokana na mvua

Mechi kati ya TRA United na Simba SC yaahirishwa hadi wakati mwingine kutokana na mvua

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
20260314_173111.jpg

Kutokana na Mvua kubwa kunyesha, Mechi ya Simba na Tabora iliyokuwa ichezwe leo, 14 Machi 2026 imeahirishwa hadi itakapopangiwa ratiba na bodi ya ligi

Hayo yamesababishwa na uwanja kujaa maji na mpira kushindwa kudunda

Uamuzi huo umetolewa na Mechi Kamishna baada ya vikao vya pande zote 2

​
 
Kuna Pitch hazina ubora kabisa hata isiponyesha mvua mpira hauvutii kuutazama ila ni viwanja tunavitumia, sijui tumewezaje kuwa ligi top 10 kwa ubora, inaonekana Africa bado sana kwenye soka.
 
Eti hii ndio nchi inayojiandaa kwa Afcon mwakani, ni aibu tupu. Ingekuwa Zanzibar lisingetokea hilo ila Tanganyika kuna tatizo kubwa sana.

Pia Simba nao wanapenda mno mechi za viporo wakiamini wakibaki nyuma wanakuwa na uwezo wa kupanga matokeo. Bure kabisa.
 
Kwahiyo ulitaka mechi ipigwe hivyo hivyo Ili Simba ionekanike hawapendi viporo
 
Kuna match nadhani ilikuwa kati ya JKT na YANGA uwanja ulijaa maji matope lakini match ilichezwa na yanga ikatoa sare hakuna aliyelalamika. lakini kwa last born Simba match imeahirishwa.
 
Back
Top Bottom