Umefanya nitamani kukuuliza ni kitu gani hicho.Hii mechi inaahirishwa kwa mara 2 sasa. Kuna kitu mganga wa Simba kakiona
Lione nalo hili!Hii mechi inaahirishwa kwa mara 2 sasa. Kuna kitu mganga wa Simba kakiona
Kwahiyo ulitaka mechi ipigwe hivyo hivyo Ili Simba ionekanike hawapendi viporoEti hii ndio nchi inayojiandaa kwa Afcon mwakani, ni aibu tupu. Ingekuwa Zanzibar lisingetokea hilo ila Tanganyika kuna tatizo kubwa sana.
Pia Simba nao wanapenda mno mechi za viporo wakiamini wakibaki nyuma wanakuwa na uwezo wa kupanga matokeo. Bure kabisa.
madam mbona tayari ushauliza hivyoUmefanya nitamani kukuuliza ni kitu gani hicho.
Ila basi tu.
TOPOLO, utalijua tu!SImba wakishajua watafungwa wanaongeza Ushirikina
We Kolo kuwa na adabu kwa MABINGWATOPOLO, utalijua tu!
πππmadam mbona tayari ushauliza hivyo