Mechi wanazoshiriki Simba na Yanga, zichezeshwa na waamuzi kutoka nje ya nchi

Mechi wanazoshiriki Simba na Yanga, zichezeshwa na waamuzi kutoka nje ya nchi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ili kutendea haki timu zingine, ni bora mechi wanazoshiriki Simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi.

Najua itakuwa ni changamoto kutekeleza hili wazo, ila huu ndio ukweli.

Siamini kama kuna mwaamuzi ambae si shabiki wa either Yanga au Simba katika hii ligi yetu ya NBC.

Dhuluma hailipi.
 
Umelewa?
 
Msijifanye hamjaelewa, hoja ni kuwa mnapendelewa sana makolo fc. Kulikuwa na upotezaji gani wa muda mpaka dakika ziongezwe 5.
 
unalia dk 5 je zingekuwa 7 si ndo ungezimia
Acha kuzuga, sema tu leo refa kawabeba kwa kuongeza dakika zaidi kuliko muda wa uliopotea.

Dawa yenu sisi ngoja tukutane akiongeza dakika 5 tunawaongeza goli
 
Kuna timu katika mechi 5 ilizocheza, mechi 4 timu pinzani zimepewa kadi nyekundu na mipenati pia wakapewa!
 
ule sio uunganwa ,ukabaji gani wa vile ,mi nataka hizi kadi ziende hivo hivo marefa wasichekee wanacheza vibaya ,mwisho wa siku watakuwa na displine ya mpira
Kwa nini Morison hakioneshwa Kadi?
 
Hivi ile ya Manula hakustahili kadi hata ya njano?.
Ile ya Morison was straight red card, sema mpira wa bongo mchezaji wa Simba au Yanga kupewa red ni kwa mbinde sana
 
Back
Top Bottom