Mechi wanazoshiriki Simba na Yanga, zichezeshwa na waamuzi kutoka nje ya nchi

Mechi wanazoshiriki Simba na Yanga, zichezeshwa na waamuzi kutoka nje ya nchi

Asee raundi ya 5 mmeanza kulia na huku mnaongoza ligi?

Ama kweli watu wasiojiamini,mnategemea kelele ndio zitawapa ubingwa?
Msijifanye hamjaelewa, hoja ni kuwa mnapendelewa sana makolo fc. Kulikuwa na upotezaji gani wa muda mpaka dakika ziongezwe 5.
 
Mkuu umeachana na siasa umehamia kwenye usimba & uyanga
 
Hatimae muda umeongea.
Ulipotoa wazo hili kukemea maamuzi mabovu watu walikushambulia Kwa vile timu wanayoshabikia ilishinda. Jana timu wanayoichukia imepewa penati isiyostahili haohao wamegeuza maneno.
 
Back
Top Bottom