Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo mlikuwa na duka golini duka lingine linachezesha ...Mchezaji afanye mieleka uwanjani halafu akipewa red card mnasema refa kaonea,mlitaka asipewe kadi?
Jana ilikuwa siyo duka ni supermarketLeo mlikuwa na duka golini duka lingine linachezesha ...
Kuwa mstaarabu mzee, sasa hayo ya msukule yametoka wapi?. Mbona hamna nilipotumia offensive word yeyote kwenye maneno yangu?.Kiwiko cha wapi wewe msukule? Hakupigwa pale, au leta video
Kwahiyo Simba alikuwa anacheza peke ake uwanjan wakat refa anawabeba ,tukisema elimu ni muhimu muwe mnaelewa? Yaan content ndogo inakutoa kamasi namna hiyo?Acha kuzuga, sema tu leo refa kawabeba kwa kuongeza dakika zaidi kuliko muda wa uliopotea.
Dawa yenu sisi ngoja tukutane akiongeza dakika 5 tunawaongeza goli
We ni mbwe au mbwa?Kwahiyo Simba alikuwa anacheza peke ake uwanjan wakat refa anawabeba ,tukisema elimu ni muhimu muwe mnaelewa? Yaan content ndogo inakutoa kamasi namna hiyo?
Yanga Jana aliposhinda kwa kuepwa tuta la uongo na hili unalizungumziaje ?
Vipi goli la Simba Lina makando kando na km yapo yabainishe .
Hizo dakika tano zilikuwa za Simba pekee au kwa timu zote mbili?
Vipi namungo angefunga goli kwenye hizo dakika za nyongeza bado ungekuja na huu ushubwada?
Sema mechi za simba siyo yanga weweIli kutendea haki timu zingine, ni bora mechi wanazoshiriki Simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi.
Najua itakuwa ni changamoto kutekeleza hili wazo, ila huu ndio ukweli.
Siamini kama kuna mwaamuzi ambae si shabiki wa either Yanga au Simba katika hii ligi yetu ya NBC.
Dhuluma hailipi.
Kolo leo meno nje kwa ushindi wa dakika ya nje ya mchezo. Leo utagawa mpaka wakushangae.
Kolo leo meno nje kwa ushindi wa dakika ya nje ya mchezo. Leo utagawa mpaka wakushangae.
hawa jamaa walivyoanza kujiamini kwa mechi tano tu hawachelewi kuanza kulia lia na marefa wakati mpira wanashika wao na bado wanapewa penaltTatizo yanga wameshajipa ubingwa msimu huu.so simba akishinda ni kosa
Tuambie kuhusu Morison mbona mnakwepa kwepa hili swali?Sio kweli. Simba mbona washakula umeme mechi iliyopita.
Sema kwa namna simba inavyocheza ni lazima timu pinzani zipate shida
Acha ulofa basiMsijifanye hamjaelewa, hoja ni kuwa mnapendelewa sana makolo fc. Kulikuwa na upotezaji gani wa muda mpaka dakika ziongezwe 5.
Nyie utopolo juzi mlipewa niniKuna timu katika mechi 5 ilizocheza, mechi 4 timu pinzani zimepewa kadi nyekundu na mipenati pia wakapewa!
We topolo juzi mmepewa penati ya kubebwaMakolo a.k.a wakubebwa fc
Hukuona yule golikipa wa Namungo alivyokuwa anajilaza na ilikuwa almost apewe kadi, tatizo timu za bongo zikitoa droo na Simba zinaona zimeshinda, nimewashangaa sana Namungo...Msijifanye hamjaelewa, hoja ni kuwa mnapendelewa sana makolo fc. Kulikuwa na upotezaji gani wa muda mpaka dakika ziongezwe 5.