C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Nov 5, 2021 #41 Asee raundi ya 5 mmeanza kulia na huku mnaongoza ligi? Ama kweli watu wasiojiamini,mnategemea kelele ndio zitawapa ubingwa? JembeKillo said: Msijifanye hamjaelewa, hoja ni kuwa mnapendelewa sana makolo fc. Kulikuwa na upotezaji gani wa muda mpaka dakika ziongezwe 5. Click to expand...
Asee raundi ya 5 mmeanza kulia na huku mnaongoza ligi? Ama kweli watu wasiojiamini,mnategemea kelele ndio zitawapa ubingwa? JembeKillo said: Msijifanye hamjaelewa, hoja ni kuwa mnapendelewa sana makolo fc. Kulikuwa na upotezaji gani wa muda mpaka dakika ziongezwe 5. Click to expand...
C Cashman JF-Expert Member Joined Jun 8, 2018 Posts 3,017 Reaction score 5,294 Nov 5, 2021 #42 Misukule inahaha...haijiamini
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 Nov 5, 2021 #43 Mkuu umeachana na siasa umehamia kwenye usimba & uyanga
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Nov 10, 2021 #44 tamuuuuu said: Tatizo yanga wameshajipa ubingwa msimu huu.so simba akishinda ni kosa Click to expand... Yanga ni mazuzu wote wale.
tamuuuuu said: Tatizo yanga wameshajipa ubingwa msimu huu.so simba akishinda ni kosa Click to expand... Yanga ni mazuzu wote wale.
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Oct 29, 2022 Thread starter #45 Hatimae muda umeongea.
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Oct 30, 2022 #46 Salary Slip said: Hatimae muda umeongea. Click to expand... Ulipotoa wazo hili kukemea maamuzi mabovu watu walikushambulia Kwa vile timu wanayoshabikia ilishinda. Jana timu wanayoichukia imepewa penati isiyostahili haohao wamegeuza maneno.
Salary Slip said: Hatimae muda umeongea. Click to expand... Ulipotoa wazo hili kukemea maamuzi mabovu watu walikushambulia Kwa vile timu wanayoshabikia ilishinda. Jana timu wanayoichukia imepewa penati isiyostahili haohao wamegeuza maneno.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 30, 2022 #47 Ngoja tuone...
O Outcrop Rock JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 275 Reaction score 398 Oct 30, 2022 #48 Salary Slip said: Hatimae muda umeongea. Click to expand... Ukweli huwa unaishi milele ulitoa mawazo mazuri watu wakajifanya ujuaji Leo kimewakuta wanageuza tena maneno..Hongera mkuu
Salary Slip said: Hatimae muda umeongea. Click to expand... Ukweli huwa unaishi milele ulitoa mawazo mazuri watu wakajifanya ujuaji Leo kimewakuta wanageuza tena maneno..Hongera mkuu