Baada ya droo ya caf ccl nimeona niwaonye yanga wawe makini na wachukue tahadhali zote dhidi ya timu hii ya Wiliete club de benguela ya Angola kwani sio timu kibonde ni timu iliyosukwa vizuri na Iko timamu kweli kweli!
Timu hii msimu uliomalizika 2024/2025 imemaliza nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi yao ya gilabora ikiwa na point 60 nyuma ya Petro Atletico iliyotwaa ubingwa ikiwa na point 68!
Ilifanikiwa kuzipiga chini timu zote zile maarufu pale kama Primeiro De Agosto, Sagrada, Bravos na ikapita kati kati yao na kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ya Angola!
Tunajua ligi ya Angola sio ligi mchekea ni Moja ya ligi ambayo Ina uwekezaji mkubwa wa kifedha na wako vizuri kwenye upande wa figisu za nje ya uwanja pindi wanaposhiriki michuano ya kimataifa!
Hii ni tahadhali nawapa viongozi na wachezaji wasibweteke wakadhani wanaenda kukutana na mchekea wanatakiwa wachukue tahadhali zote kwani wanaenda kukutana na timu imara inayocheza ligi Bora!