Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

hii mechi sidhani kama itaendelea maana kitayose wachezaji wawili wametolewa kwa machela wapo nje
 
Bila hako kambinu!

WANGEPIGWA HAMSINI!![emoji1787][emoji1787]
 
Wapo 8 uwanjani na hawana sabu wakitoka Wachezaji 2 mpira unaisha.
 
Kipa wa Kitayosce kaumia huenda asiweze kuendelea na mchezo, mpira umesimama
 
refa naona kawaita wachezaji wa Azam anawapa maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…