Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

Feisal anaonesha kutokuridhishwa na kile anachoelezwa na waamuzi
 
Fei toto nae anashangilia bila hata aibu[emoji1787][emoji1787]
Yeye yuko kazini anatimiza wajibu.wanaotakiwa waone aibu ni viongozi wa hiyo timu kufanya mambo kibabaishaji.Walikua wapi siku zote kuweka mambo yao vizuri.
 
imekuwaje mkuu, hao wanne wamekula umeme au imekua vipi?
Timu haijakamilisha taratibu za usajili na kwa hivyo wachezaji walioruhusiwa ni wanane tu.

Kipa kwa sasa ameumia mchezo umesimama.Wamebaki 7 uwanjani na hakuna sub hata mmoja
 
manao angalia tv hebu tuelezeni kiutaalam hapa wanasemaje wachambuzi huko
 
Sijui kwann wamekubali kuingiza timu Hawa jamaa.

Mpira hawajui alafu wako 8 uwanjani!

Watakula kumi Hawa na wanamtengenezea mtu ufungaji bora
Bure kabisa bora refa wanashauriana kuhairisha mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…