Kwani kanuni zinasemaje?Unawezaje kuchezesha timu ina wachezaji pungufu ( wanane ) uwanjani halafu baadae uje utoe kiatu cha mfungaji bora?
Hizi mambo mbona ni uhuni mwingi sana?
Hivi kulikuwa hakuna njia nyingine hili lisitokee?
Nimesikitishwa sana na huu uhuni wa leo
Wacha waparuane hapo bora alikua si simba wala yangaMpira wa bongo bado sana ila kuna unazi wa Simba na Yanga ambao unaharibu mpira.
Ila hako kambinu ka kuumia kamewasaidia sana kitayse!!Yeye yuko kazini anatimiza wajibu.wanaotakiwa waone aibu ni viongozi wa hiyo timu kufanya mambo kibabaishaji.Walikua wapi siku zote kuweka mambo yao vizuri.
Basi kiitwe "kisimamo" na siyo kikao.Balimi zinanitesa sana muda huu.🤔Sio vikao rasmi ivyo wamesimama. Na mpira umesimama
wachezaji nane uwanjani mechi inapigwa kama kawaida ila wasipungue chini ya wachezaji saba..Timu haijakamilisha taratibu za usajili na kwa hivyo wachezaji walioruhusiwa ni wanane tu.
Kipa kwa sasa ameumia mchezo umesimama.Wamebaki 7 uwanjani na hakuna sub hata mmoja
Nafikiri kufungiwa na FIFA Usajili na pia hawakuwa wamesajili wachezaji wengine rasmi kulingana na TFF ao wachezaji 8 tu ndio wamesajiliwa na wana stahili kucheza ligi na ndio hao walioanza. Kisheria na toka tukicheza michangani, hakuna mechi itakayochezwa au iendelee ikiwa timu moja ina wachezaji chini ya 7. Kipa na jamaa kujiangusha na kusingizia kuumia walikuwa sahihi kabisa na game imeisha sasa huku Azam ikipewa point 3 na goli 2 za mezani.Sasa wanacheza je nane uwanjani?? Kwani wachezaji wengine wa akiba wako wapi
Tff wana mambo ya hovyo sana!!waamuzi wa mchezo wa mechi ligi namba 5 kwa ubora afrika wanateta pale hawaelewi wafanyeje
Mkuu mbona hutupi live huo mtanange unavyochezwa, upo chamazi kweli au upo kibanda umiza ?Mpaka muda hii Kitayose hawajatokea uwanjani kupasha misuli. Bado dkk 18 mpira uanze.
Leo angefunga 15 peke na kuchukua mfungaji bora.Yaani mechi ya kwanza kwenye ligi na mfungaji Bora wa ligi siku hiyo hiyo huyo dogo alitaka kuweka rekodi yake.Fesal hajatoka bure!
Goli tatu sio haba[emoji1787][emoji1787]