gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Kwani kanuni zinasemaje?Unawezaje kuchezesha timu ina wachezaji pungufu ( wanane ) uwanjani halafu baadae uje utoe kiatu cha mfungaji bora?
Hizi mambo mbona ni uhuni mwingi sana?
Hivi kulikuwa hakuna njia nyingine hili lisitokee?
Nimesikitishwa sana na huu uhuni wa leo