Hahahahahahaha !!!!!! Waiter embu leta maji makubwa ya Kilimanjaro tudilute hii na maji doh!! Imekuwa Kali mnoooooooooooo!!!!!! Fanya fastaaaaa........
daaaaaaaaaaaaaaaah kweli smetutus
Hvbado dakika ngapi tena vile??
juve wont go down without a fight , na msije mkashangaa akafanya kisichotarajiwa
hapa mkuu umetutukana, umetutusi mkuu hapa, eti nini?
yani kwa sasa hata juve wenyewe wanajuta kukutana na barcelona
Habari ndo hiyo, I support heavily!! Kama unakisikiaga tu kibibi kizee leo utakiona live!!
Hahahaaaaa wifi yaani nimewapata awa kaka zako nataka niwaweke ndani everlenk jiandae kucheza kwaito...
Shoga nikifungwa unisaidie kunificha maana sijui watanifanyaje awa watu
labda cha kupigwa 10 ndio kisichotarajiwa
Habari ndo hiyo, I support heavily!! Kama unakisikiaga tu kibibi kizee leo utakiona live!!
Team Barcaaaaaaa. Leo tunaenda kukamilisha utaratibu tu kwamba lazima tucheze.....lakini kombe ni letu.
mwisho wa madrid ulikuwa hapa...... " alipiga goti.. mtu mzima dawa"
...
....juve 3 Barcelona 0
Exactly!!!
Hahahahaah ndo ushaanza kutafuta pa kujificha eh...hata shimoni utaziskia tuuuu na tutakuchomoaaa.....hesabu muda kabisaaaa
Barca 3- 0 juve
tufunge mwaka
Its just the opposite Juventus 3-0 barca