Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Nakubaliana na wewe 100%, nawaonea huruma na miaka kibao waliokaa bila kufika fainali UEFA. Cha ajabu, na wenyewe wanalenga 'Trebble' msimu huu. Yaan hii mechi nina ham nayo.

leo kuna kapu la magoli uwanjani
 
Who will come out on top in the battle of the midfield marvels?


 
Uzuri ni kwamba mchepuko wangu juve ananielewa vizur kua akifungwa hapat papuch so lazima afanye vyema.
Hahahaaaaaa

Lileeeeeeeeeeeeee limeenda
 

Attachments

  • 1433600350911.jpg
    10.4 KB · Views: 57

Yes according to his personal perspective, but no according to the available objective data!
 
Waiter mpe huyu rafiki juice_cola ntalipia mimi, hakikisha unamuhudumia ili asiondoke hadi muda wa mechi aone ambavyo juve atafanywa
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
mkuu hawa jamaa wameanza kuniudhi, huu ujasiri wanautoa wapi?
yani hata mie siwaelew kabsa et barca anafungwa ama kama vp ngoja niongee na kocha aingize la masia
 

Kama ni kanuni, kanuni inasema matokeo ya mpira ni dakika 90! Kanuni haisemi barca achezapo lazima ashinde. Ndiyo maana wakali wa darajani walimkalisha barca akiwa kwao. Na msimu huo ndoo ya UEFA ilienda darajani!
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya jumuiya hii kubwa ya jf nimezungumza na wataalamu mbali mbali, tazama wanauchumi, wanafizikia, wachambuzi wa soka, wanasaikolojia na wanazuoni wengine kibao na wote wameonyesha imani yao kubwa kwa club ya wananchi duniani, barcelona. "kimahesabu kwa kweli barcelona ameishachukua kikombe na hakuna wa kuzuia hilo" alizungumza kiufundi mtaalamu fulani wa hesabu. Nyinyi mnaobisha hili humu ndani mnataka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…