Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabaiki wa mpira mda mwingine akiri mnazisahau chooni sijuiCAF yote inajua mechi yao bora ni ya Ijumaa.
Na ndio maana wameipa heshima kuwa siku hiyo kutakuwa na mechi moja tu.
Kwanini? Kwasababu ndio Derby ya Africa mpaka sasa.
Al Ahly na Simba hakuna mbabe katika mechi zote walizokutana.
Maana yake ulimwengu mzima kwa siku ya Ijumaa ukiwa unataka kuangalia mechi za CAF, utakuwa unatazama mechi moja tu ya Simba dhidi ya Al Ahly.
Baada ya hapo ndio watafuata wacheza makida kujirusha rusha nao kukamilisha ratiba.
Tuna itunza.Game hii mamelodi anakufa sio chini ya chuma 3 save hii coment
Mtoto mrembo mlainilainiAtakuwepo
View attachment 2944492
Kocha wa mamelodi ameiogopa hii game sana kiasi kwamba alidanganya wachezaji wake 7 wanaumwa ili wasiende kuchezea bafana bafana mechi ya kirafiki na Algeria .Game hii mamelodi anakufa sio chini ya chuma 3 save hii coment
Hivi wafungua mashindano wanakuwaje vile? Kwenye mpira wa miguu kuna timu zinafungua mashindano kisha wababe wanafuata.CAF yote inajua mechi yao bora ni ya Ijumaa.
Na ndio maana wameipa heshima kuwa siku hiyo kutakuwa na mechi moja tu.
Kwanini? Kwasababu ndio Derby ya Africa mpaka sasa.
Al Ahly na Simba hakuna mbabe katika mechi zote walizokutana.
Maana yake ulimwengu mzima kwa siku ya Ijumaa ukiwa unataka kuangalia mechi za CAF, utakuwa unatazama mechi moja tu ya Simba dhidi ya Al Ahly.
Baada ya hapo ndio watafuata wacheza makida kujirusha rusha nao kukamilisha ratiba.
Wanasema 50 kwa 50 sema tatizo la nyama ya paja mara nyingi ni ishu ya kuanzia mwezi mmoja ndio anakua sawa...Vipu Hali yake ya majeruhi mpaka Sasa?
Akicheza Kama alivyocheza na simba au belouzidad atashinda 2 au 3Kikubwa Yanga acheze mpira wake
Duuh!! mwanangu Una maneno....hahahahaYap naunga mkono.
Baada ya Feisal kuchomoa betri kwenye kiswaswadu na kufanya kisiite sasa ni muda wa kujaribu bahati.
Ni siku ya vibaka pia kuliza 🐸🐸fans 😂😂Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea