Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

Yap mpira utapigwa ila nilitamani sana Yao awepo sema ndio hivyo tena wale washambuliaji wa Masandawana wanataka beki wabishi kama yule na kushoto acheze Lomalisa sio Kibabange...
Vipu Hali yake ya majeruhi mpaka Sasa?
 
Mashabaiki wa mpira mda mwingine akiri mnazisahau chooni sijui
 
Kocha wa mamelodi ameiogopa hii game sana kiasi kwamba alidanganya wachezaji wake 7 wanaumwa ili wasiende kuchezea bafana bafana mechi ya kirafiki na Algeria .
Kikubwa Yanga acheze mpira wake
 
Hivi wafungua mashindano wanakuwaje vile? Kwenye mpira wa miguu kuna timu zinafungua mashindano kisha wababe wanafuata.
Kwenye ngumi pia hiyo swala lipo linaitwa pambano la utangulizi, wanapigana wasio na mvuto kwanza kisha zinafuata sasa lile pambano la heavy weight baada ya mechi ya utangulizi.
Kwenye muvi kwa wale watu wa kitambo hiyo inaitwa trela yaani unaaanza kupata vibwagizo na vionjo kisha muvi yenyewe inakuja kuanza mbeleni.
Na kwenye misemo tunasema ladies first.
 
Kila la kheri Kwa Mamelody Sundowns . Nawatakia ushindi mnono . Ubuntu botho .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…