Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

Mkuu

Umekosea Sana!

Argentina,uholanzi,England,ureno,croatia ni team za kawaida kama ilivyo morocco!

Timu za kiwango ni Brazil na ufaransa Hawa ndio wababe wa kweli!
Unatamani kuja kuufuta huu utopolo ulioandika?
 
Ndio Rubani wa Qatar airways anaondoa ndege iloyo wabeba brazil hapa uwanjani wanaelekea kwao
 
Kuna kitu Mimi nimekiona ambacho watu wengi hawajakiona bado...ufaransa Hana timu ya kumfunga england..kwa mara ya kwanza since 1998 uingereza katengeneza timu ya ushindani na wamepunguza kelele...wanafika final this year
 
Uingereza angeweza kufungwa hata na Senegal kama wangekuwa na striker mzuri. Magoli yao mawili yalitokana na counterattack ambazo sio rahisi kuzipata kwa ufaransa.

Tatizo kubwa zaidi ni uwepo wa mbappe. Jamaa lazima atafunga.
 
Ya Urusi yanaenda kujirudia Mwaka huu. Fainali ni France Vs Croatia
Na Croatia ndie anaeenda kuchukua kombe Fifa worl cup 2022
 
We jamaa.
 
Ya Urusi yanaenda kujirudia Mwaka huu. Fainali ni France Vs Croatia
Na Croatia ndie anaeenda kuchukua kombe Fifa worl cup 2022
Croatia ni wazuri lakini hawawezi kumtoa Argentina.
 
Niliangalia pasi za Spain na basi walilopaki Morocco pale golini kwao, hapakuwa na mpira wowote wa maana.
Unazungumziaje upigaji wa penalt kati ya Morocco na hispania
 
Unazungumziaje upigaji wa penalt kati ya Morocco na hispania
Suala la kupiga penati ni la kustaajabisha sana. Jana uholanzi walikuwa wanapoteza muda wakitaka waende kwenye penati lakini wakatolewa kwa penati.

Misri ambao huwa wanahistoria nzuri na penati walishindwa kuingia world cup kwa kufungwa na Senegal kwa njia ya penati.

Hao Morocco unaweza ukawachukia sana siku nyingine kwasababu ya kupiga penati mbovu na wakaishia kutolewa.

Mpaka sasa Croatia ndio timu pekee imeshinda kwa penati mechi nne mfululizo kuanzia world cup iliyopita lakini unaweza kushangaa wakatolewa kwa penati.

Kwa ujumla penati haina mwenyewe.
 
Vivyo hivyo ndani ya dk 90 hakuna mwenyewe. Kupaki basi pia ni mbinu ndio hao hispania wakashindwa kupenya mpaka wakaenda kwenye matuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…