Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaMkuu
Umekosea Sana!
Argentina,uholanzi,England,ureno,croatia ni team za kawaida kama ilivyo morocco!
Timu za kiwango ni Brazil na ufaransa Hawa ndio wababe wa kweli!
Fainali: FRANCE vs BRAZIL
Ndio Rubani wa Qatar airways anaondoa ndege iloyo wabeba brazil hapa uwanjani wanaelekea kwaoSafari hii Brazil hawatokubali kuwa wateja tena!!
Ufaransa haina viungo wakukabiliana na wa Brazil!!
Ufaransa Wana washambuliaji tu na Beki wazuri!
Brazil Wana Beki,viungo na washambuliaji hatari sana!
Brazil atashinda Battle Kati Kati ya uwanja na Hapo Ndipo mechi itaamuliwa!!
Kamtoa Sasa..Argentina Hana uwezo wakumfunga uholanzi!!.
Muda utatupa jibuArgentina akivuka leo tunamkuta fainali na yoyote atakaeingia fainali hachomoi lazima Messi abebe hili kombe
Uingereza angeweza kufungwa hata na Senegal kama wangekuwa na striker mzuri. Magoli yao mawili yalitokana na counterattack ambazo sio rahisi kuzipata kwa ufaransa.Kuna kitu Mimi nimekiona ambacho watu wengi hawajakiona bado...ufaransa Hana timu ya kumfunga england..kwa mara ya kwanza since 1998 uingereza katengeneza timu ya ushindani na wamepunguza kelele...wanafika final this year
Uliangalia mpira lakini au ulisimuliwa?Waarabu wa Morocco walimuotea Spain kama Saudi Arabia alivyomuotea Argentina. Kwa ureno anatoka asubuhi.
Hao wabrazil wavulana mabrazameni watoe hapoMkuu
Umekosea Sana!
Argentina,uholanzi,England,ureno,croatia ni team za kawaida kama ilivyo morocco!
Timu za kiwango ni Brazil na ufaransa Hawa ndio wababe wa kweli!
We jamaa.Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo.
Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo. Argentina atamtoa Uholanzi kisha ataenda na kumtoa Brazil/Croatia kwenye nusu fainali
Ureno atamtoa Morocco kirahisi kuliko inavyodhaniwa. Ufaransa atamtoa uingereza halafu ataenda kumtoa ureno kwenye nusu fainali.
Hapa naongelea kiufundi zaidi baada ya kuziona hizi timu kwa kuzingatia ubora pamoja na madhaifu yao.
Ile mechi ya mtoano wa 16 bora pale urusi mwaka 2018 inaenda kujirudia kwenye fainali ya mwaka huu pale Qatar. France vs Argentina.
Sitegemei kama Argentina atakubali kufungwa mara ya pili. Ngojea tusubirie muda utatujibu.
Final France vs Portugal
Halafu France atabeba ndoo kwa mara nyingine
Unazungumziaje upigaji wa penalt kati ya Morocco na hispaniaNiliangalia pasi za Spain na basi walilopaki Morocco pale golini kwao, hapakuwa na mpira wowote wa maana.
Suala la kupiga penati ni la kustaajabisha sana. Jana uholanzi walikuwa wanapoteza muda wakitaka waende kwenye penati lakini wakatolewa kwa penati.Unazungumziaje upigaji wa penalt kati ya Morocco na hispania
Vivyo hivyo ndani ya dk 90 hakuna mwenyewe. Kupaki basi pia ni mbinu ndio hao hispania wakashindwa kupenya mpaka wakaenda kwenye matuta.Suala la kupiga penati ni la kustaajabisha sana. Jana uholanzi walikuwa wanapoteza muda wakitaka waende kwenye penati lakini wakatolewa kwa penati.
Misri ambao huwa wanahistoria nzuri na penati walishindwa kuingia world cup kwa kufungwa na Senegal kwa njia ya penati.
Hao Morocco unaweza ukawachukia sana siku nyingine kwasababu ya kupiga penati mbovu na wakaishia kutolewa.
Mpaka sasa Croatia ndio timu pekee imeshinda kwa penati mechi nne mfululizo kuanzia world cup iliyopita lakini unaweza kushangaa wakatolewa kwa penati.
Kwa ujumla penati haina mwenyewe.
Kwa mpangilio wa mechi ulivyo, Ufaransa na Argentina wanaweza kukutana Nusu Fainali kama watashinda mechi zao za Robo Fainali na sio Fainali.