Leo hao Morocco utawakataa mapema tu. World cup haihitaji janjajanja. Inatakiwa mpira uwe unaujua kweli.Vivyo hivyo ndani ya dk 90 hakuna mwenyewe. Kupaki basi pia ni mbinu ndio hao hispania wakashindwa kupenya mpaka wakaenda kwenye matuta.
Sawa tupo hapa tutapeana mrejeshoLeo hao Morocco utawakataa mapema tu. World cup haihitaji janjajanja. Inatakiwa mpira uwe unaujua kweli.
Wewe kama mimi,,Croatia ni timu yenye discipline ya hali ya juu.Ndoo nampa 70%Ya Urusi yanaenda kujirudia Mwaka huu. Fainali ni France Vs Croatia
Na Croatia ndie anaeenda kuchukua kombe Fifa worl cup 2022
Mkuu saivi huna nenoFainali: FRANCE vs BRAZIL
Bingwa: FRANCE
Mkuu zingatia hapo kwa bingwaMkuu saivi huna neno
DaahPortugal vs Ureno* bingwa ureno Ronaldo alambe matangazo na waarabu watengeneze hela kupitia hapo
Mambo vipiLeo hao Morocco utawakataa mapema tu. World cup haihitaji janjajanja. Inatakiwa mpira uwe unaujua kweli.
Leo hao Morocco utawakataa mapema tu. World cup haihitaji janjajanja. Inatakiwa mpira uwe unaujua kweli.Narudia tena Morocco ni timu nzuri ila inatembea kwenye bahati ambayo sijui ita-hold mpaka lini.
Niendelee kusisitiza hapa!Ya Urusi yanaenda kujirudia Mwaka huu. Fainali ni France Vs Croatia
Na Croatia ndie anaeenda kuchukua kombe Fifa worl cup 2022
Argentina kufika fainali na kuchukua ubingwa ni jambo la lazima. Kinyume na hapo labda itokee hii miujiza kama ya Morocco kupita kwa bahati ndio Messi hatabeba kombe.Niendelee kusisitiza hapa!
Argentina itatolewa na Croatia na France itamfurusha Mwarabu Morocco.
Fainali: Croatia Vs France
Sasa unajua kuongea fact [emoji23]Mimi naongea fact za kimpira. Nawapongeza Morocco kwa kuweza kufanikiwa katika mbinu yao leo.
Wanaoenda Fainali ni Croatia na Morocco BINGWA MOROCCO 2-1Argentina kufika fainali na kuchukua ubingwa ni jambo la lazima. Kinyume na hapo labda itokee hii miujiza kama ya Morocco kupita kwa bahati ndio Messi hatabeba kombe.
Kwa pressing na high balls za wafaransa nitashangaa sana kama Morocco atapata bahati tena. Kwahiyo fainali itakuwa kama nilivyoandika, Arg vs Fra.
Portugal na ureno ni timu tofauti?[emoji23]
Football. Well, bado ndoto yako kuona fainali kati ya Ufaransa na Argentina inaweza kutimiaUreno atamtoa Morocco kirahisi kuliko inavyodhaniwa. Ufaransa atamtoa uingereza halafu ataenda kumtoa ureno kwenye nusu fainali.
Tuendelee kusubiriArgentina kufika fainali na kuchukua ubingwa ni jambo la lazima. Kinyume na hapo labda itokee hii miujiza kama ya Morocco kupita kwa bahati ndio Messi hatabeba kombe.
Kwa pressing na high balls za wafaransa nitashangaa sana kama Morocco atapata bahati tena. Kwahiyo fainali itakuwa kama nilivyoandika, Arg vs Fra.