Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

Kesho Morocco mtawakataa kwa mvua wanayoenda kunyeshewa. Mpira wa kisasa hautaki janjajanja za kukaa nyuma na kuvizia.
Mkuu kwa Ufaransa Ile hapana, yaani wajukuu wa marehemu malkia walishindwa wao tu, France weupe sana na hata Kama wakipita huko mbele wanaenda kukalishwa na Messi 🐐
 
CHAGUZI NI MBILI; Uchague Kushinda Ukiwa Na Sisi AMA Ushuhudie Sisi Tukishinda 🇦🇷
 
Mkuu kwa Ufaransa Ile hapana, yaani wajukuu wa marehemu malkia walishindwa wao tu, France weupe sana na hata Kama wakipita huko mbele wanaenda kukalishwa na Messi 🐐
Uzoefu wa ufaransa, mpira wa kasi, mipira ya krosi pamoja na uwezo wa kupress wa wafaransa unaenda kuwamaliza kabisa Morocco kesho.
 
Kesho wa Morocco watatembea na mbappe tu kwisha habari
Sasa kama umewaangalia vizuri mtu hatari ni griezman, ametoa assist nyingi sana hata mechi ya england zote katoa yeye.

Mbappe atatumika kama decoy ili griezman na Dembele wampelekee Giroud kwenye kichwa.

Pia viungo wa ufaransa wanapiga miwa ya maana.
 
We konyo sana, inaelekea hivyo aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…