Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

#76
And tha finaaaaalll Argentina will play against France freeeence 2_ and the morrocooo ,0 see you final and tha third winner.
 
Morocco dhambi ya usaliti kwa waafika imezaa matunda haya nendeni bara lenu la mars mkashangilie na alien [emoji89]

Mimi baada ya mechi kuisha nilijisemea, sasa Morocco watabaki nchini kwao uarabuni au watarudi ugenini Africa...??πŸ˜…πŸ˜…

Waswahili walisema, weka akiba ya maneno... yamewakuta...😁
 
Mwamba anaingia tachi ya Kwanza kambani utafikiri kocha alijua jamaa alikaa na goli pale bench saaaaaf dua zimekubali
 
Kuna kitu Mimi nimekiona ambacho watu wengi hawajakiona bado...ufaransa Hana timu ya kumfunga england..kwa mara ya kwanza since 1998 uingereza katengeneza timu ya ushindani na wamepunguza kelele...wanafika final this year
Duh!..
 
Ungeweka mkeka wa maana kwa Muhindi SAA hizi tungekuwa tunafunguwa Champagne na warembo tu.

Sichezagi hizi betting ila fainali naweka mzigo Messi lazima ainuwe makwapa.
 
Mimi baada ya mechi kuisha nilijisemea, sasa Morocco watabaki nchini kwao uarabuni au watarudi ugenini Africa...??πŸ˜…πŸ˜…

Waswahili walisema, weka akiba ya maneno... yamewakuta...😁
Fact ni kwamba White South African siyo Waafrica ni wazungu, huu ndio ukweli msiotaka kuukubali kwa Morocco siyo Waafrica ni Waarabu na ni waislamu, wapo Africa kwa sababu ya Berlin Conference tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…