Mechi ya jana imetupa ujasiri wana Simba

Umrfuata nini kwenye huu uzi? Haujui kuwa huu uzi ni kama msibani halafu unaanza kumsema vibaya marehemu?
Acha watu wajitafutie furaha yao
 
Wakuu bila shaka mmejionea kilichotokea jana/leo kwanza niipongeze timu yangu ya Simba kwa mpira wa jana, Simba imepiga mpira mkubwa mno tena kwenye ardhi ya Mwarabu saa saba za usiku

Nguvu moja [emoji881]

Mechi ilichezwa saa nne kwa huko Morocco
 
Raja hawacheki na vibonde
 
Afadhari sisi nyie mmegeuzwa kama chapati nyuma na mbele
Emu oneni aibu basi, mnapata wapi ujasiri wa kuzungumzia champions league,, nyie kombe lenu ni la mbuzi komaeni tu huko huko, mcheze na vibonde wenzenu huku maji marefu hampawezi,,..
 
Reactions: Tui
Kutombw* ni kutombwa* tu no matter ulikatika au haukukatika
 
Mashabiki wa Simba wana hulka kama za bondia Karim Mandonga. Hatabuwafunhe, bado watachonga tu na kujitutumua!

Eti wamepata ujasiri!! Ujasiri wa kufungwa nje ndani!! Mnashindwa kukifunza kwa kaka zenu Yanga! Wamepigwa ugenini, na wenyewe wamekuja kulipa kisasi nyumbani.
 
Raja kafungwa goli 1 katika mechi zote, ila yeye kawabamiza goli 17 vibonde.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utopolo bwana,, haya kila la kheri kwenye kombe lenu la kuku [emoji23][emoji23]
 
Rudia tena kusoma, nime ainisha aina ya waarabu OG na wa mchongo
 
Yaani aliyepo Chuo kikuu ajifunze kwa darasa la saba C [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Match uliangalia au umeadithiwa asubh hii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…