Ndo uone namna ambavyo tunapata tabu na hawa viumbe,, wana vichwa vitupu mnoNilishangaa sana baada ya kujua kumbe yanga wapo kwenye mashindano tofauti na simba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi kweli kweli na watu wanajitutumua kumlinganisha simba na yanga.
NB: sina ushabiki kwa timu yoyote nimeonyesha mshangao niliopata tu..
Nakwambia wana maumivu kuliko alietenguka uti wa mgongoHlf jana walikua wanatamani rekod yao ivunjwe. Wameumbuka 😂😂
Kuna muda nilikua nahisi yanga wanaonewa labda simba ndio wana midomo sana kumbe mambo meupe kabisaaaNdo uone namna ambavyo tunapata tabu na hawa viumbe,, wana vichwa vitupu mno
Angepeleka kwenye group la ukoo wakeMijitu mingine buana mmeambiwa kama tim yako haipo champion league nyamaza kaa mbali na huu uzi lkn nashangaa mijitu haiheshimu uzi wa mtu
niache na tekno yangu.Unatupigia kelele na techo yako
hesabu ya akina mzee mpili hyo[emoji3]Hesabu ni ile ile 6
Baada ya kufunga ukapata point ngapi? Magoli ya papatu papatu mpaka ubingwaUongo dhambi huyu mwamba fundi, ona alivyo waning'iniza waarabu, goli la kiufundi mnoo level za Uefa champions league,, sio kama yule jamaa wa utopolo anayefunga magoli ya papatu papatu baada ya hapo ana tetemeka uwanja mzima mithili ya mtu mwenye degedege ..View attachment 2573359
Eee Mungu tupe upendeleo wa maisha ya milele bongo hiiMambo mengine bana mtu umepigwa 6 bado unasema umepiga mpira mwingi!
Kombe la mbuzi pia lilikushinda ilibidi uchome moto uwanja ukijua ushindi unapatikana kwa uchawi na ukabutuliwa vile vile sijui unakielewa unachokisema ama umepitiwa tu!Hapa inazungumzwa Cafcl subiri uzi wa kombe la mbuzi uta comment
Yanga alivyopigwa sita hakuupiga mwingi?Mambo mengine bana mtu umepigwa 6 bado unasema umepiga mpira mwingi!
Jamaa ni natural born scoring machine. Ningependa apewe special trainer akeshe naye gym kumuongezea nguvu na speed. Hapo na Phiri arudishwe katika nafasi yake, aisee 🔥🔥🔥Uongo dhambi huyu mwamba fundi, ona alivyo waning'iniza waarabu, goli la kiufundi mnoo level za Uefa champions league,, sio kama yule jamaa wa utopolo anayefunga magoli ya papatu papatu baada ya hapo ana tetemeka uwanja mzima mithili ya mtu mwenye degedege ..View attachment 2573359
Mbna kwa Al hilal mlishindwaaaa???Mashabiki wa Simba wana hulka kama za bondia Karim Mandonga. Hatabuwafunhe, bado watachonga tu na kujitutumua!
Eti wamepata ujasiri!! Ujasiri wa kufungwa nje ndani!! Mnashindwa kukifunza kwa kaka zenu Yanga! Wamepigwa ugenini, na wenyewe wamekuja kulipa kisasi nyumbani.